Inafaa sasa Majaliwa aandaliwe kuwa rais wa Tanzania

huyu ambaye Ruangwa kwao hawamkubali na ambaye anafanya kazi kwa mizuka ya magufuli, aaah wap, labda rais wa Nanganga
 
Maana ye demokrasia ni watu wote wanaojiona wanafaa na wenye sifa wajitokeze na watu waamue
sio eti mtu mmoja 'aandaliwe'...
hii ni nchi sio kamati ya harusi....
Mleta mada akisikia ule wimbo uliopigwa marufuku na BASATA wa kama sikosei Ney wa mitego atakuja kutuambia huyo aandaliwe kuwa Rais. Kwa muono wake.
 
siku yoyote anaekupa nafasi kubwa ya kukuteua ni lazima uenende kama anavyotaka,kwakuwa Rais aliomba kura kwa watu na kuwapa ahadi ni lazima amchague atakaemsaidia,
unataka aende kwa mzuka wa baba yako?
Pia tambua kuwa uwezo aliouona kwa Magufuli kwa Majaliwa ndiyo sifa ya kumpa nafasi kubwa kabisa katika serikali ukiondoa ya kwake rais.
Halafu jifunze kuwa"A GOODMAN IS ALWAYS NOT HONOURED IN HIS OWN COUNTRY",
Upuuzi ulionao kichwani mwako si lazima kila mtu aujue.
Majaliwa ni PRESIDENTIAL MATERIAL.
 
Hlo haliwezekani akiwa na mawazo hayo ataaibika ni bora amalize miaka yake kumi akapumzike
 
kama hakuna mtu ndani ya ccm mwenye uwezo wa kuongoza nchi zaidi ya majaliwa basi tutachagua chama kingine kwani ni lazima atoke ccm?
 
Huyu ameonesha intelligence ya hali ya juu sana pale anapoongea na watu wa chini yake na weledi wa kuogopwa kitu ambacho nilizoea kukiona kwa viongozi wakubwa wa kisocialist. Naomba huyu mtu aandaliwe kuwa rais maana so far pale CCM sioni mtu yoyote aliyebaki mwenye sifa ya urais kama J.P.M akimaliza muda

kaka huon kama ni mapema sana kumjudge mtu.. kufaa kwa mtu kuwa kiongoz hakutokan na haiba yake.. rejea kiongoz aliepita.. the most good looking president with personality in EA probably Africa... and look around and tell me what dd tz gain thru his regime
 
Na hilo Neno. Kazi kwake

Huyu ameonesha intelligence ya hali ya juu sana pale anapoongea na watu wa chini yake na weledi wa kuogopwa kitu ambacho nilizoea kukiona kwa viongozi wakubwa wa kisocialist. Naomba huyu mtu aandaliwe kuwa rais maana so far pale CCM sioni mtu yoyote aliyebaki mwenye sifa ya urais kama J.P.M akimaliza muda wake.
 
JPM kama akiendelea hivi,aendelee tu kuwa Rais ,hatuhitaji kupoteza fedha kwenye mambo yasiyo na tija.
Huyu ameonesha intelligence ya hali ya juu sana pale anapoongea na watu wa chini yake na weledi wa kuogopwa kitu ambacho nilizoea kukiona kwa viongozi wakubwa wa kisocialist. Naomba huyu mtu aandaliwe kuwa rais maana so far pale CCM sioni mtu yoyote aliyebaki mwenye sifa ya urais kama J.P.M akimaliza muda wake.
 
Kwa jinsi nilivo mtazama jana akiwa bandarini.,Kassim yupo vizur saana.. Huwez kumlinganisha na February or njemba m
 
Bahati nzuri kuhusu Majaliwa ni kuwa;hana "tamaa",hata alipopewa u-pm alikuwa anarudisha nyumba ya serikali ahamie kwake!
 
.. Uliyo yaandika yanasadifu kabisa picha uliyoweka.
Tatzo hujaelewa kuwa historia nayo inahukumu.
Salim A Salim vs CCM
Fredrick Sumaye Vs CCM
Edward Lowasa Vs CCM
Mizengo P.K Pinda Vs CCM

Ukielewa hapo utaelewa tu hukumu ya huyo anaemtaka iko vp. Hii ni CCM sio chichiem mjomba
 
huyu ambaye Ruangwa kwao hawamkubali na ambaye anafanya kazi kwa mizuka ya magufuli, aaah wap, labda rais wa Nanganga
hawamkubali? Kwa nini walimchagua awe mbunge?
Naona hii sindano ya ng'ombe aliyoitoa mleta uzi imekugusa ktk mfupa, pole mummy!
 
Kampeni zimeanza asubuhi namna hii,itafanyika kazi kweli kama haya ndio mawazo yenu?
 
Back
Top Bottom