NAMI NAOMBA KIBALI NIANZISHE JF MEMBERS INVESTMENT FUND!!!.UTT ni mfuko wa uwekezaji wa pamoja unaoendeshwa kwa kukusanya rasilimali (fedha) kutoka kwa wawekezaji na kuwekeza fedha hizo kwa mujibu wa malengo ya mfuko husika ili kupata faida. Umiliki wa uwekezaji wa mwekezaji unajulikana kama kipande au vipande. Kipande ni sehemu aliyonayo mwekezaji katika mfuko wa pamoja. Mfuko unapoongezeka thamani ndivyo vipande vinavyoongezeka thamani.
Sijaona tofauti iliyopo kati ya Hisa tulizozea na hii ya UTT.
Waanzilishi wa mfumo huu ni matajiri. Wanajua wao wana pesa nyingi watakuwa na miliki kubwa katika hiyo biashara. Faida itatolewa kulingana na kiasi unachokimiliki ndo maana nikasema tajiri atazidi kuwa tajiri na masikini atabaki hapo hapo.
Hivi hatuwezi kuanzisha "Mfuko wa uwekezaji wa vijana" ukiwa na malengo ya;bonge la funzo mkuu
Na tunamshawishi mtukufu zile milioni 50 za kila kijiji zinapitia kwenye mfuko huuHivi hatuwezi kuanzisha "Mfuko wa uwekezaji wa vijana" ukiwa na malengo ya;
kukusanya pesa ndogondogo kutoka kwa vijana ( kuanzia 500) na kuziwekeza kwenye shughuli/sekta ambazo zinaajiri vijana kwa wingi,
kuwajengea vijana uwezo wa kujiajiri na kutengeneza ajira.
kutengeneza ajira kwa vijana.
Najaribu kuwaza kwa sauti
Mkuu nasikia Vodacom wanaanza kuuza Machi 6.Ahsante kwa taarifa, nitaifatilia
Hela zenyewe ziko wapi kaka?Na tunamshawishi mtukufu zile milioni 50 za kila kijiji zinapitia kwenye mfuko huu
Vp hela zangu kwenye Airtel money inamaana hazipo salama mkuuAirtel inatangaza Kufisilika ..nchi nyingo za africa .
Chagua kampuni vizuri,ukichagua CRDB,tutafanana,hayeshi majuto yetu.habarini wanajamvi
kama kichwa cha habari kinavojieleza na mpango wa kununua hisa za makampuni mbalimbali ningeomba mnishauri ni hisa gani nzuri kununua kwa kuzingatia kiasi cha gawio na muda unaochukua kupata gawio.
asanteni nawasilisha .
Watafute Orbit securities,ununue Treasury bonds ka VIP njoo tufuge Noah.habarini wanajamvi
kama kichwa cha habari kinavojieleza na mpango wa kununua hisa za makampuni mbalimbali ningeomba mnishauri ni hisa gani nzuri kununua kwa kuzingatia kiasi cha gawio na muda unaochukua kupata gawio.
asanteni nawasilisha .