Kisima
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 4,113
- 4,467
Kwahiyo mkuu unaamini kabisa kabisa Mbowe hajavuta mkwanja kwa mzee Lowassa?Una vithibitisho gani alipokea shilingi ngapi, hayo ndiyo mambo ya hovyo ambayo yanatakiwa kupingwa na wana Chadema wote.
Hujiulizi kwanini walikuwa wana buy time kututangazia jina la mgombea kupitia Ukawa mpaka pale mchakato wa ccm ulipoisha ndo wakatuletea Lowassa? hii manaake nini? kwamba chama kilikuwa hakijajipanga kumwandaa mgombea wake kwa miaka 5? unataka ushahidi upi zaidi mkuu?
Acha unyumbu, truth must be spoken.