Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 2,774
- 5,549
Za jioni wakuuu....................................
Anyway weekend iko poa?
Nimekaa hapa nikakumbuka siku ya kwanza nilipoingia barbershop ebwanaaa eeeh ilikuwaa hiviii 👇👇
Niliona saloon nyingi zimefungwa sasa na nilikuwa nataka ninyoe siku hiyohiyo coz kesho ake nilikuwa na safariii.
Katika kutafuta saloon ndo nikaona frame moja lipo wazi na pale juu wameandika barbershop , me nikajua ni kama saloon za kawaida si nikaingia mzeee....
Paaap nikamkuta kinyozi analinyoa lizombi limoja pale muda mrefuuuu basi polepole nikaanza kupata wasiwasi maana mazingira ya mule ndani yalinishtua kidogo ghafla yule mwamba akamaliza kumnyoa, akaelekezwa kwenye chumba maalumu kwa ajili ya kupewa huduma ya kusafishwa kichwa aisee nikasema hapa ni pa BUKU kweli apa!!!!
Basi nikaenda zamu yangu(nikaulizwa vipi wewe unanyoaje mmmmh sasa me sijuagi minyoo nikamjibu we ninyoe fashen itakayonipendeza) basi nikanyolewa pale nikawa directed kulekule aisee si nikakutana na pisi moja kali sana basi nikaambiwa "lala apo" nikajilaza nikakuta yule dada anachukua kataulo dadekii kakaweka kwenye majib ya moto fulan hivi mara paap kichwani kaanza kufuta futa kichwa daaah aisee nikawa najisikia raha mwenyew basi ukafika muda wa kusepa zangu kuuliza bei nikatajiwa 7k nikabaki natia huruma pale daah lakini bahati Nzuri nilikuwa na pesa ya ziada pale nikalipa nikasepa fastaaa
Nawasilisha wakuu je kwako wewe ilikuwajeee tukiwatoa nje born town people 😂😂😂😂