OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,035
- 114,473
Unaweza kusema huyu ana akili timamu kweli?. Halafu juzi anawaambia watu wasimtofautishe Samia na Magufuli. Jingaa kweli hili jamaa
Unaweza kusema huyu ana akili timamu kweli?. Halafu juzi anawaambia watu wasimtofautishe Samia na Magufuli. Jingaa kweli hili jamaa
Cc Pascal MayallaYaani unajua kabisa mteuzi wako kafumba macho na kuziba masikio kisha anakurudisha kwenye mfumo ili ujipange kisha unaanza tena kufanya yaleyale yaliyokuondoa?
Makonda kumbe ni kweli ndiye Bashite! Kapewa nafasi nzito ndani ya Chama kama mwenezi lakini karudi kwenye ujinga uleule anao tuhumiwa nao?
Huyu Bashite hajitambui kabisa. Kaanza tena kutishia watu "unanijua mii nani?" Mara ningewakomoa hawa na kadhalika!
Nadhani sasa Rais Samia keshajua kuwa hili jitu halibebeki ni gunia la misumari na hata huo u RC ni kwa vile kumuacha ghafla jumla kungeleta maneno acha akaharibu Arachunga huko apambane na wakali wa mambo anyooke au aharibu.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Taasisi ya rais ina macho mengi hivyo hapo kwenye RC atadeal na kila sourcesNafikiri mnakuwa wapumbavu tu, kwa hiyo kushindwa kwake na kutojitambua ni kutolewa chamani na kuletwa serikalini au kufukuzwa?
Nafikiri usipomuelewa Bashite, ukamuelewa Rais unakuwa mnafiki, kama bashite kashindwa, mamlaka ya kumteua inamteuaje tena?