Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,319
- 72,747
Yaani unajua kabisa mteuzi wako kafumba macho na kuziba masikio kisha anakurudisha kwenye mfumo ili ujipange kisha unaanza tena kufanya yaleyale yaliyokuondoa?
Makonda kumbe ni kweli ndiye Bashite! Kapewa nafasi nzito ndani ya Chama kama mwenezi lakini karudi kwenye ujinga uleule anao tuhumiwa nao?
Huyu Bashite hajitambui kabisa. Kaanza tena kutishia watu "unanijua mii nani?" Mara ningewakomoa hawa na kadhalika!
Nadhani sasa Rais Samia keshajua kuwa hili jitu halibebeki ni gunia la misumari na hata huo u RC ni kwa vile kumuacha ghafla jumla kungeleta maneno acha akaharibu Arachunga huko apambane na wakali wa mambo anyooke au aharibu.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app