Magufuli ana akili sana, ameamua kuangalia je kama kweli wanachokilalamikia wana maanisha au ni wivu kwa wenzao?sawa bwana , loosers ni wananchi always. hawa wapinzani wa kitanzania kwa kweli sidhani kama wanamaanisha wanachokiongea . Huyu Kitila Mkumbo kwa kweli kawaangusha wazalendo wenzie na jumuiya ya upinzani Tanzania
Mkuu utaendaji nyumbani kwa mwenyeji wako umkaukie mwanae?Kitila mkumbo!anyway tutazimisi zile speech zako za kukosoa serikali kule DW!
Leo nimewaona na makonda mubashara kama sio wewe uliyakuwa unamkomalia makonda kwenye vyeti feki
Ngoja tu tune huko Ikulu kupata neno la mfalme...Mkuu hakuongea lolote chochote?
haiwezekani kwa kweliMkuu utaendaji nyumbani kwa mwenyeji wako umkaukie mwanae?