mchawi wa kusini
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 830
- 897
Habari JF hii ndio Inaitwa VITA Ya Kiroho katika Ulimwengu Wa Mapenzi
Twende moja Kwa moja Kwenye mada
IJUE VITA YA KIROHO YA MAPENZI.
UMEMUAGA mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda.
Wakati bado upo uvunguni ka mchepuko kakamuaga mume wake kwamba, kanaenda saloon, mume wa ka-mchepuko naye akaona ndo muda wa kuita mchepuko wake, akauita ukaja, wakajimwayamwaya kwa sana muda huo wee bado upo uvunguni. Mara mchepuko wako akarudi kutoka saloon, akagonga mlango, ikabidi mume wa mchepuko wako aufiche uvunguni mchepuko wake.
Kucheki hivi kumbe mchepuko wenyewe ndo mke wako uliyemuaga unaenda kazini, kwa hiyo wewe na mke wako wote mkawa mmefichwa uvunguni...Ukisikia vita ya tatu ya dunia, ndo hii sasa.
Hivi mmenielewa kweli.
Usiponilewa rudia tena Utaelewa na Omba hii vita usikutane Nayo.