TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 7,225
- 13,974
KAMPUNI YA MARCOPOLO
Kampuni ya #marcopolo ilianzishwa tarehe 6 Agosti 1949 huko Caxias do Sul kama Nicola & Cia Ltd.
Wakati kampuni inaanzishwa ilikua na washirika 8 na wafanyikazi 15.
Mnamo mwaka 1971 kampuni ilibadilisha jina na kuwa Marcopolo S.A. (Marcopolo S.A. yaani mtengenezaji wa body za mabasi).
Marcopolo ni kampuni ya Brazil inayojulikana sana kwa kutengeneza body za mabasi ya abiria na magari mengine ya usafiri wa umma.
MARCOPOLO imekuwa moja ya watengenezaji wakubwa wa body za mabasi duniani.
Marcopolo hutoa aina mbalimbali za body za mabasi kama vile mabasi ya
• Masafa marefu
• Mabasi ya trip town
• Mabasi ya kitalii
Mabasi ya Marcopolo yamejipatia umaarufu kwa muundo wake na ubora wake, kwa kuzingatia na kuendana na teknolojia ya kisasa.
Body za mabasi ya Marcopolo hutofautiana kulingana na mahitaji ya wateja na aina ya basi wanayotengeneza.
Hata hivyo, baadhi ya mifano maarufu ya mabasi ya Marcopolo ni:
1. Marcopolo Paradiso.
Basi la masafa marefu lenye viti vya starehe kwa ajili ya safari za umbali mrefu.
2 .Marcopolo Viale.
Basi la safari za mjini lenye uwezo wa kubeba abiria wengi kulingana na mazingira ya mji.
3. Marcopolo G7.
Basi la masafa marefu lenye muundo wa kisasa na vifaa vya kisasa kwa ajili ya abiria.
4. Marcopolo Torino.
Basi la mji lenye muundo wa kisasa na ufanisi katika usafiri wa miji.
Mifano hii hubadilika kutoka kampuni hadi kampuni na kutoka nchi hadi nchi. Inaweza kuwa na vipengele tofauti kulingana na toleo na marekebisho ya kila aina ya basi
Mpaka sasa MARCOPOLO wameweza kuingiza sokoni matoleo mbalimbali hapa duniani kama vile:
• Allegro
• Andare Class
• Attivi, ( Hii waliingia ubia na BYD )
• Boxer ( Hii waliingia ubia na Volvo )
• Ideale
• Listo ( Hii inapatikana Colombia tu kutoka SUPERPOLO S.A )
• Multego
• Paradiso G7 & G8 series, DD, 1800, 1600, 1350, 1200, 1050, 900
GV 1000 (1988-2000)
G6 1050 (1998-2011)
• Senior
• Temple ( Hii inapatikana nchini Colombia tu chini ya SUPERPOLO S.A )
• Torino
Torino G4 (1982-1988)
Torino GV (1993-1998)
Torino G6 (1998-2007)
Torino G7 (2007-2016)
• Viaggio 800
• Viale
IKUMBUKWE: MARCOPOLO INAUNDA BODY TU NA SIO CHASIS ZA GARI.