GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,212
Mtangazaji wa Clouds FM Privaldinho ( Privadinyo ) muda mfupi akiripoti ( katika Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM ) kutokea Tanga ulipo Uwanja wa CCM Mkwakwani ambao Kesho unachezewa Mechi ya Ligi Kuu ya NBC kati ya Coastal Union FC na Yanga SC amesema Waandishi wa Habari ( nae akiwemo ) kwa Masikitiko makubwa wamekuta Kidole Kimekatwa tena cha Mtu mzima kikiwa Kibichi kikiwa kimetupwa ndani ya Uwanja.
IGP Sirro na Waziri wa Mambo ya Ndani tafadhali Upuuzi na Ukatili huu ukiachwa na Kuchelewa utaharibu Heshima yetu na Utu wa Mtanzania hivyo GENTAMYCINE nikiwa kama Mdau wa Michezo ( hasa Mpira wa Miguu ) naomba upesi sana Kamateni Viongozi wa Yanga SC na Coastal Union FC kisha muwahoji Kimedani ( Kimateso ) mpaka Waseme ni Mtanzania Mwenzetu gani huyo Kakatwa hicho Kidole na waliofanya hivi Wawajibishwe na ikiwezekana Wanyongwe na Kufa kabisa.
IGP Sirro na Waziri wa Mambo ya Ndani kuna Klabu moja ( Kubwa tu hapa Tanzania ) binafsi kama GENTAMYCINE naijua ina rekodi ya Kuiba Maiti Mochwari kila ikikutana na mbabe Mwenzake kama Kutii na Kutekeleza Imani za Kishirikina ili ishinde / washinde.
Klabu hiyo hiyo nakumbuka mwaka Jana ilipocheza na Mkongwe Mwenzake na Kufunga Goli na Mchezaji wake wa Kiungo anayependa Kunyoa Upara / Dongo muda Wote ( kama GENTAMYCINE ) aliyetokea kwa Watani zangu Wahaya ( Mkoani Kagera ) Mmoja wa Kiongozi wao Mwandamizi alimwambia Rafiki yangu kuwa Waliroga kwa Mtindo wa Kukata Kiganja cha Mtoto na kuja nacho Uwanja wa Benjamin Mkapa na Kukifukia na kweli hiyo Mechi walishinda.
Lakini IGP Sirro na Waziri wa Mambo ya Ndani ni Klabu hii hii pia miaka ya 80 GENTAMYCINE nikiwa bado ni 'Toddler' niliambiwa ( nilisimuliwa ) kuwa kuna Siku iliwahi Kumfukia Mtu katika Mchanga wa Bahari kule Bagamoyo Maji yakiwa yamekupwaa ( yametoka ) ili Washinde na kweli Walishinda ila kwa bahati mbaya wakiwa Wanasheherekea Ushindi wao huo wakamsahau huyo Popoma ( Mpumbavu ) Mwenzao huyo waliyemfukia Nusu na walipokumbuka walimuwahi kwani alishaanza Kunywa Vikombe ( Maji ya Bahari ) kwani yalikuwa yanarudi na walipomtoa Mchangani alipofukiwa cha Kwanza kuomba kutaka Kunya ( Kuukweka ) baada ya hapo ndipo Kazi ya Kumtapisha Maji aliyoyabugia ilianza.
IGP Sirro na Waziri wa Mambo ya Ndani nadhani mpaka hapa na kwa hii Mifano yangu mitatu niliyo na uhakika nayo tayari mtakuwa mnaojua ni Klabu gani hasa kati ya hizi Mbili ndiyo inahusika moja kwa moja ( 100% ) hasa kwa Kumkata Mtu hicho Kidole na Kukitupa leo ndani ya Uwanja wa CCM Mkwakwani ambao Kesho unachezewa Mtanange ( Mchezo ) huo ambao nimetaarifiwa kuwa kwa jinsi Timu zote Mbili zilivyoroga kwa Kumfukuru Mwenyezi Mungu Kesho Majini tupu tu ndiyo yatakuwa yanacheza Mpira.
Nashukuru Simba SC haina Upuuzi huu.