Huyu ni master

paul miteda

Senior Member
Jan 19, 2023
131
587
Haya malezi kiboko haya sasa ww ndiyo mwalimu ungemfanyaje??
 
Walimu kazi tunayo.Nimeapa sitamchapa mtoto wa mtu.Ngoja niendelee kuchezea kishikwambi mie.
Asante Sofia Mjema.
Mama Samia naomba hata u-DAS
 
Serikali imesema wasichapwe..
Viboko vimewapoteza wengi badala ya kuwajenga! Kuna kitu niliwahi kufanya nikiwa darasa la tano! Nikaulizwa mbele ya walimu wote ndani ya ofisi yao huku nkiwa nimeshikiwa kiboko! Nilikana katakata macho makavu
Mwalimu aliyekuwa kashika kiboko akataka kunicharaza kwa hasira lakini mwalimu mmoja (rip) akasema MTOTO KAMA HUYU NI WA KUMUACHA TU! Basi sikuchapwa tena nikaruhusiwa kuondoka! Lakini maumivu niliyopata kutokana na yale maneno heri ningechapwa tuu
 
Back
Top Bottom