maalimu shewedy
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 860
- 691
Hayo maswali magumu sana mkuuWarusi wanajiuliza kila siku ni nani atakuja kuvaa Ukamanda wa Putin? Ni nani atakuja kuiwekea marekani ubavu na ikalia? PUTIN THE GREAT....
Hiki kichwa niligundua hesabu zake pale alipokubali kutoka urais awe waziri mkuu ili agombee urais tena, hakuna anaeweza kusema ni mbinafsi mpenda madaraka.
. MmmmmhhhhHivi ni mwafrika wa kenya kweli?? naskia ni muislamu?
Huyu jamaa ninasikia anaweza kukanusha kitu alichokifanya with eye contact mkavu kabisa.
Usinikumbushe Gorbachev, Irina Gorbachev alikuwa na pair 500 za viatu wakati Urusi ikiwa socialist country, that was a talk in the world, hiyo ikuwa earl 90'sTangu mapinduzi ya Oktoba mwaka 1917 hadi kufika 2016.
Ni Mikahail Gorbachev na Boris Yeltsin ambao wameidharirisha Urusi,
Lakini zaidi ya hapo Urusi wamebarikiwa kwa viongozi wenye akili: Wewe mwenyewe angalia tu kuanzia Vladmir Lenin hadi kufikia kwa Konstantin Chernenko.
Usinikumbushe Gorbachev, Irina Gorbachev alikuwa na pair 500 za viatu wakati Urusi ikiwa socialist country, that was a talk in the world, hiyo ikuwa earl 90's
Ni kipindi cha Gorbachev ndiyo McDonald ya kwanza ilifunguliwa Urusi, watu walipanga foleni, ikuwa ajabu flani hivi.Watoto wote wa viongozi wa Urusi kipindi cha Gorbachev walikuwa wanakula bata sana!
Una habari kuwa wakati Boris Yeltsin akiwa rais alikuwa na mkutano na John Major waziri mkuu wa Uingereza, Yeltsin akawa anapiga vodka kwenye ndege, wamefika London alikuwa amelewa vibaya mno, kuepusha aibu ndege iligeuza, wakasema alipata dharura nyumbani.Tangu mapinduzi ya Oktoba mwaka 1917 hadi kufika 2016.
Ni Mikahail Gorbachev na Boris Yeltsin ambao wameidharirisha Urusi,
Lakini zaidi ya hapo Urusi wamebarikiwa kwa viongozi wenye akili: Wewe mwenyewe angalia tu kuanzia Vladmir Lenin hadi kufikia kwa Konstantin Chernenko.
Una habari kuwa wakati Boris Yeltsin akiwa rais alikuwa na mkutano na John Major waziri mkuu wa Uingereza, Yeltsin akawa anapiga vodka kwenye ndege, wamefika London alikuwa amelewa vibaya mno, kuepusha aibu ndege iligeuza, wakasema alipata dharura nyumbani.

Duh wewe ni mmalekani kiongozi?McCain":Adhabu aliyotoa Obama ni ndogo ,Congress mpya na Rais mpya lazima imuongezee vikwazo Urusi.
"Ni dharau kubwa kuingilia masuala ndani ya USA
Graham": Congress mpya lazima ipige kura kuongeza vikwazo haswa kwenye benki na gesi ,tunafahamu uchumi wa urusi unayumba
" Pia tushinikize majeshi yaongezwe visiwa vya Baltic na Ukraine kuwa press urusi
NB:kivyovyote Putin hapa hachomoki bado senetors wote wa Dems na baadhi tu wa Reps wapige kura kwenye congress mpya kuongeza vikwazo zaidi, itakuwa fundisho siku nyingine hatoweka pua yake kwenye masuala ya ndani ya USA ..don't play with USA ,anaendesha mafuta yeye ,anacontroll kila kitu .Putin lazima awe mdogo kama panadol
Naona mnaleta utoto wenu wa ccm na chadema kwenye siasa za kimataifa....angefukuza wanadiplomasia wa marekani mngekuja hapa kusifia make mlikuwa mshaanza kusema lazima alipe kisasi, saiz hajafukuza mnasifia pia. mibongo bana!
KomoniKitwanga. Heheheee.
Kwa mujibu wa BBC, Putin kasema hawez kufanya uamuzi wowote hadi Rais mpya wa US aone ana muelekeo gani. Kama akiwa na muelekeo wa Obama, atafukuzilia mbali.angefukuza wanadiplomasia wa marekani mngekuja hapa kusifia make mlikuwa mshaanza kusema lazima alipe kisasi, saiz hajafukuza mnasifia pia. mibongo bana!
Kwa mujibu wa BBC, Putin kasema hawez kufanya uamuzi wowote hadi Rais mpya wa US aone ana muelekeo gani. Kama akiwa na muelekeo wa Obama, atafukuzilia mbali.
Kitwanga. Heheheee.