Huyu mzee anampenda sana Mungu

Kwa kweli ni raha sana kuwa na kiongozi anayemjua Mungu namna hii. Mtakatifu Lowassa utuombee
 
Wengine wenu hata mngeshikishwa bunduki msingeli thubutu kusimama hapo kwa hayo yenu mlotenda. Heshimuni hata hizo mvi mtapata thawabu.
 
Wengine wenu hata mngeshikishwa bunduki msingeli thubutu kusimama hapo kwa hayo yenu mlotenda. Heshimuni hata hizo mvi mtapata thawabu.
Huyu mzee watanzania wengi tulikuwa hatumjui ila baada ya kuingia upinzani nuru yake ikaonekana. Ndio maana watu wengi siku ile waliimba tuna imani na pastor Achachanda. Nasi tuna imani naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…