Huyu msichana ana 'mood swings' za ajabu, nashindwa kumwelewa

Miaka mi4 mzee? Fanya mambo mengine,huyo achana nae atakutafuta mwenyewe ukimpotezea.
 
Hauwezi kumwambia mtu kua utamuoa wakati hata hamjaingia kwenye mahusiano. Kwa mtu mwenye kufahamu haya mambo atajua tu unataka kumdanganya.

Ata wanaoa/ waliokwisha oa hawakuwaingilia wapenzi wao kwa gia izo. Mnaanza kawaida, baada ya mda mrefu wa kukaa pamoja nakufahamiana zaidi ndo unaweza waza/ sema habari za ndoa
Unazingua wewe,,,,,una fanya mambo yawe magumu anakushindaje ujanja??? Kwa haya maelezo naona unajikanyaga mwenyewe tu kwa huyo manzi,,huna final say,,,

Hizi gemu za mapenz umezianza lini?

huyo demu kashaisha acha kuchelewesha,, put her in ur kingdom otherwise wajanja watamchukua akiwa chuon na wewe ndo itabaki historia na ujiran tu
 
Eh hii tamthiliya ya Ina na Angelo nmeshindwa kumaliza jmn
Walioana au Ina kaolewa na mwingine?
 
mbona umekata story? ngoja tukuendelezee.
nikamwambia tutafute hotel weekend moja tukae tuongee kirefu. akasema hapana hawezi kwenda huko. nkamuuliza kwanini? akasema yeye anaboyfriend? nikamtafuta dada yake (vicky) anisaidie lakini alimtukana na kumwambia anamkuwadia wakati anajua yeye anaboyfriend. na mimi alinipigia na kunitukana. kutoka hapo sikumbuki chochote nilikuja shtuka niko hapa mirembe na bila hizi dawa nakuwa nasikia kama sauti za watu wengi wakisema kwa pamoja NINABOYFRIEND.
 
Mambo yanakuchanganya aisee. Maana hata kuandika ni tabu

Achanae tafuta mwingine kwani wasichana wameisha au
Halafu ni Mhitimu wa Chuo Kikuu huyo....tena sio Open University ni U of D (UDSM). Kudadadekiii wallahi Tanzania tuna safari ndefu na hawa wasomi wa zama hizi.
 
Ni vema ungeeleza baada ya kumaliza chuo unafanya shughuli gani ya kukupatia kipato kwani inawezekana huna shughuli yoyote Zaidi ya kuwa tegemezi , nakushauri chapa kazi kwa bidii ukishapata pesa yako hao utawapata wako wengi sana tu, acha kulialia na mapenzi !
 
Halafu ni Mhitimu wa Chuo Kikuu huyo....tena sio Open University ni U of D (UDSM). Kudadadekiii wallahi Tanzania tuna safari ndefu na hawa wasomi wa zama hizi.
JF is full of idiots with absurd thoughts
 
Back
Top Bottom