Ridhwani Kikwete baada ya Babake kuwa Rais alikutana na Abbas Mwinyi na Makongoro wakamueleza Changamoto za kuwa Mtoto wa Rais na changamoto zake kwny media.
Ridhwan Kikwete nae ni wajibu wake kukutana na huyu binti kumuandaa kisaikolojia.
Kutokana na comments za wadau kuhusu huyu binti, kama haya ni kielelezo cha 10% ya vijana wote TZ, basi hiyo Tanzania ya Viwanda ni ndoto, labda viwanda vya kutengeneza vitumbua
Yuko natural...
Ngozi nzuri...
Sura nzuri...
Anakaa mguu fulani I hope nyama zitakuwa zmeongezeeka mguuni
Na mwili aongrzeke kdg yaani kdg
Atakuwa bombaaa