Wakenya wanajua kutumia uzembe wetu kujinufaisha wao na nchi yao. Sisi na nchi yetu kwa uvivu wetu wa kufikiri wacha tuendelee kuibiwa na sijui kama tukilalamika tunafaidika na lolote. TTB na Wizara ya utalii ni majipu tu
Na nyie ndege yenu ipeni jina la Mount Kenya basi. Vinginevyo mlima Kilimanjaro ubadilisheni jina uitwe MLIMA TANZANIA. Kisha muone kama wataendelea kuunadi mlima TANZANIA upo kenya.