Dogoli kinyamkela
Senior Member
- Nov 21, 2024
- 157
- 248
HUU NI MTI WA MAARIFA CHUMA UFAHAMU AKILI IPATE MAKAZI YA NURU.
Somo : MWANA WA MUNGU NI NANI ?
Anaandika Creezle Farey
Watu wengi wamezoea na wanao ufahamu juu ya YESU kwamba yeye tu ndio mwana wa MUNGU.
Lakini Nina hitaji tuangalie maana halisi ya mwana wa Mungu,na mamlaka aliyonayo katika huu ulimwengu.
Nyoka huzaa nyoka.
Mbwa huzaa mbwa
Simba huzaa simba
Kamwe mbuzi hazai ngiri.
Yohana 1:12 wale wote waliopokea lile wazo la Mungu tayari wao wanao uwezo wa kufanyika wana au watoto wa huyo Mungu,Au ile nguvu itendayo kazi nje ya ufahamu wako wa kawaida.
Hapa shida sio Mungu shida ni huyu mwana wa Mungu.
YESU
Ni jina ambalo lina nguvu ya kuokoa kwa kipindi chote cha wokovu,kuna wakati ambao litakua halina kazi hio tena.
Sasa yule binadamu ambaye ndani yake alikua na uwezo wa Mungu wa asili na vyote....
Ambaye alikuja kwa jina la Yesu.
Lakini ndani yake ni MUNGU
Kama tulivyo Mimi na wewe...ambao tunaliamini hilo neno au Wazo...
Hivyo basi
Yesu ni MUNGU ambaye katika mwili alitaka kumfunulia mwanadamu ni jinsi gani mwana wa Mungu anapaswa kua,
Na ni jinsi gani mwana wa Mungu Ana mamlaka juu ya
Hewa,juu ya Ardhi,juu ya bahari au maji,jinsi gani binadamu anayo mamlaka juu ya anga,jinsi gani mwanadamu anayo mamlaka juu ya masaa,
Anayo mamlaka juu ya mambo magumu.
Anayo mamlaka kwenye kinywa.
TWENDE PAMOJA SASA.
Katika maandiko ya hadithi za biblia yale majadiliano yaliyowapa shida wanafunzi na yule adui shetani ilikua hivi.
Kilichokua kinampa shida shetani sio kwamba Yesu ni MUNGU
Bali kilichomsumbua ni ile sifa ya mwana wa Mungu huku duniani,mbali na kule kwenye ulimwengu wa fikra..
Mfano wa mambo anayoyaweza mwana wa Mungu kwa ufahamu wa adui shetani....
Alimwambia sehemu fulani ikiwa wewe ni mwana wa Mungu au mwana wa Asili na vyote...geuza hili jiwe kuwa mkate.
Hapa shetani au giza,kutokua na nuru ya ufahamu alikua na maana ya kwamba.
Kwamimi nijuavyo Mwana wa Mungu anao uwezo na mamlaka ya kugeuza mambo magumu (jiwe) kuwa mkate(malaini)
Ikiwa wewe ni mwana wa Mungu jitupe kutoka mahali hapa maana imeandikwa Bwana atakuagizia malaika zake nao watakulinda katika njia zako usije ukajikwaa.
Hivyo kwa ufahamu wa shetani anajua kama mtu yeyote anajitambua yeye ni mwana wa Mungu basi kuna walinzi automatically wa rohoni ambao humlinda katika njia zake asijikwae..
Kwaio shida hapa sio kwamba yule binadamu ni YESU hapana.
Shida ni kua mwana wa MUNGU.
Kwa wanafunzi au wafuasi wake.
Kuna nyakati zilikua ni sakumi za usiku kulingana na maandiko,ukisoma
YESU alikua kwenye mashua amelala zake,Lakini kwakua adui bado alikua anataka kujithibitishia kweli kama huyu mtu anao ufahamu juu ya mwana wa Mungu na mamlaka aliyo nayo juu ya upepo na bahari basi akatibu mambo.
Hivyo kwenye mashua wakati Yesu amelala bahari na upepo vikaleta shida sana....
Wanafunzi au wafuasi wa falsafa za Yesu wakaanza kuogopa na kutapatapa.
Wakamwamsha wakasema rabi au mwalimu tunaangamia tusaidie.
HIVYO
Aliamka na kisha akaukemea upepo(hii ikimaanisha mwana wa Mungu anayo amri juu ya upepo)
Na kisha akaiamuru Bahari kutulia nayo ikapoa hii ikimaanisha ( mwana wa Mungu anayo amri juu ya bahari au maji)
Kisha bahari ilivyotulia basi wale wanafunzi walivyoona hayo
Wakasema hakika huyu ni mwana wa Mungu Yesu,
Akawambia tu mwaminini Mungu akiwa na maana ya kwamba
Kwanini mioyoni mwao hawana imani ya kwamba wana mamlaka ya kuamuru juu ya vyote kupitia ndimi zao.😃😃😃😃😃😎😎😎
Mwana Ana amri juu masaa na majira...
Basi twende tena sambamba hapa.
Basi bana kulingana na maandiko Yesu alikua mlimani kwenye bustani saa tisa alfajiri au usiku wa saa tisa...😎😎😎
Hivyo yesu alikamatwa saa tisa usiku wakati wa giza...
Akaanza kuteswa na kuonewa mpaka kunakucha aliendelea kupokea mateso.
Mpaka saa sita....
Nataka hapa nikupe code moja.
Unajua unapoingiza funguo kwenye kitasa ili kufunga mlango na kisha ukazungusha Mara tatu ili kufunga,itabidi kuzungusha Mara tatu wakati wa kufungua ...
Basi Yesu alikamatwa saa tisa usiku kukiwa na giza....hicho kilikua ni kifungo kamili....hivyo kujitoa katika hicho kifungo ilimhitaji mpaka asubiri saa tisa za usiku ili apate ukombozi...
Sasa mateso yalimzidia mpaka kufika saa sita mchana na ukipiga hesabu kutoka saa sita mchana mpaka saa tisa usiku muda aliokamatwa kuna ka umbali sana ...
Hivyo mtu unayenifuatilia mimi creezle
Nakuambia mwana wa Mungu anayo mamlaka juu ya muda.
Yesu alivyoona mambo imezidi kua ngumu na maumivu kwamba hawezi kusubiri mpaka ifike saa tisa usiku🤣🤣🤣
Hivyo ikambidi Yesu asogeze muda mbele ndio maana unaona kwenye maandiko unaona wanasema ilipofika saa sita ghafla kukatanda giza wapuuzi hawajui kua mwana wa MUNGU ali squeeze muda
Kwaio lile giza likaenda mpaka saa tisa kama muda aliokamatwa jana yake....Alipo maliza mission yake ya ukombozi wa fahamu na fikira katika wote watakao amini juu ya Falsafa za mwana wa Mungu...
Basi wanapokea ufunguo wa mauti na uzima
Kama mithali 18:21.....
Mimi na wewe ndio wana wa Mungu aliyetuumba....fikra zetu ndio Neno
Tunaweza kuyavika mwili maneno yetu....
CODE juu ya Tatu ###3
Petro Alimkana Yesu Mara tatu...hivyo hicho kikawa ni kifungo tayari ..
Hivyo ili kumtoa kwenye hicho kifungo ilibidi amkubali Yesu Mara Tatu
Ndio maana
Yesu alimuuliza petro Mara ya kwanza petro je wanipenda?
Petro akajibu ndio nakupendwa bwana.
Akamuuliza tena Mara ya pili petro je wanipenda ?
Akamjibu ndio bwana nakupenda.
Akauliza kwa Mara ya tatu tena je petro wanipenda?
Petro akashangaa tena akamjibu ndio bwana wajua kweli nakupenda.
Hapo ndipo kifungo kikafunguka kwa maana alimkana Mara tatu (Ali funga mara tatu)
Ilibidi kumkubali Mara tatu(Ili kufungua kifungo)
....
Maarifa ni kitu cha msingi ndio codes
Za utawala wa ulimwengu wa roho na mwili.
Nikipata fursa nitaeleza juu ya
Codes za Ardhi kama mwana wa Mungu unapaswa kufanyaje.
Ahsante kwa uliye nielewa
Content created by : Dogoli kinyamkela

Akaondolewa katika ufahamu wa kawaida mpaka ufahamu wa juu sana mlimani au katika mnara...na kisha akaambiwa>> Mjadala ukaendelea katika fikira za mwanadamu Yesu,...