Huu mchepuko una nia nzuri kweli ?

[QUOTE="guzman_, post: 20065864, member: 350359
>Akitaka kuja home utasikia hi baby naomba nije kama bb mkubwa hayupo (bb mkubwa
anaishi mtaa wa 2)..

>
NB: wife ana wivu sana

Sijaelewa unaposema bb mkubwa anaishi mtaa wa pili?? ina huyo unayemuita wife hamuishi pamoja au ni aje jombaa?!
Yap anaishi hapa hapa kwa bashite ila siishi nae home kuna mambo hayaja kaaa sawa
 
Mm ni ndomu mpaka kukuche au napiga nje sasa yy hilo hafurahii kabisa, na siwezi labda nilogwe
mbona unajimiksi mara ndomu mara unapiga nje inaonekana wewe ni mzee wa dry kuwa makini usimpe mimba utajuta
 
Muweke mbali na familia yako tena kuwa mkali muonye aelewe ww ndio wa kwake lkn familia yako haimhusu vingnevyo utaingia na mbwa msikitin uje tena kuomba ushauri hapa jamvin...
Fuata mashart yote ya uchepukaji mapnz ya nchepuko yasikufanye upoteze tahadhar
 
Muweke mbali na familia yako tena kuwa mkali muonye aelewe ww ndio wa kwake lkn familia yako haimhusu vingnevyo utaingia na mbwa msikitin uje tena kuomba ushauri hapa jamvin...
Fuata mashart yote ya uchepukaji mapnz ya nchepuko yasikufanye upoteze tahadhar
Sawa mkuu
 
Duuuh uwo mchepuko ni hatar unaweza kuta unamapenzi ya dhati kuliko ata wife

Ila kama yuko poa komaa nae mpe kama ka mwaka alaf mfariji na kababy boy ivi
 
Asalam wandugu
Ni hivi ninamchepuko wangu hapa down town jiji la bashite..sasa huyu mchuchu niko nae kwa takriban miezi 10 sasa.. n bado yuko classic na anajua malove..
Cha ajabu yy n zaidi ya mchepuko..
>anajua nna mke na nna mtoto pia..ila ameniganda mpaka sielewi..na anasikiliza kila kitu nacho mweleza..
>Akitaka kuja home utasikia hi baby naomba nije kama bb mkubwa hayupo (bb mkubwa
anaishi mtaa wa 2)..
>Sometims: za asubuhi sweet nakupenda sana yaan nataman hata mkeo ajue japo nakuhofia kama hata kuelewa ila napenda familia yako.
>Akiondoka bb mkubwa naomba niongee na mwanao mbona hupendi hata nimsalimie
>Please mpnz naomba tuzae walau mtoto mmoja napenda kuwa na mm mama
>Kila wahuni wakimtia voco ananiambia, sasa m najiuliza si awakubalie aolewe
>Kila nikitaka kumwacha analia mpaka namwonea huruma..
>Na sijawahi hata kushituka kama analiwa na walaji
>cha ajab ni kuwa amekataa kuolewa na mtu mwingine hata niwe na michepuko mingine

NB: wife ana wivu sana

Nijuzeni niendelee nae au nitumie njia gani kumwacha bila maumivu..

N.k
Ujue na mkeo nae ni mchepuko wa mtu Fulani hivi sehemu Fulani hivi.endelea tu
 
Kosea uzae nae hapo Ndo utamjua vizuri
Mkuu hapana nikishajiingiza huko ndo matata, ila mchepuko unajielewa sana unajua kuzisaka fedha na sometimes unanipiga bia za kutosha nikifulia
 
Ujue na mkeo nae ni mchepuko wa mtu Fulani hivi sehemu Fulani hivi.endelea tu
Hilo nakataa wife wangu ni tofauti na wengi hawa mabinti wa bashite...kwa vile tu ni wife ila ningesema mengi..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom