chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 15,093
- 25,840
Kweli kabisa mkuuBashe ni mzalendo wa kweli, ndio maana CCM wanataka kumfukuza kwenye CHAMA chao maana haendani na sera zao!
Kweli kabisa mkuuBashe ni mzalendo wa kweli, ndio maana CCM wanataka kumfukuza kwenye CHAMA chao maana haendani na sera zao!
Hivyo vikao havina maaana,nchi nzima inamuunga mkono bashe,nyie kaeni vikao vya kahawa vya watu kumi dhidi ya watanzania milioni hamsiniBravo ila soon ataitwa kwenye vikao vya chama ajieleze kwa kuwaunga mkono wapinzani
Hao wap--- huwezi kuwaona kwenye uzi kama huu
Kwani uongo? Tena ni matumizi mabaya ya karatasiNa vip kuhusu kunyolewa kwa chupa... Tatizo la Lisu ni moja yeye kujiona bora na kudharau wenzake.. Wale wajumbe wa kamati hakuna sehemu wamemdharau Lisu, lakini yeye Lisu kaita zile ripoti ni Takataka.. Ile yeye pekee yake ndio mwenye uwezo, ila uwezo wake akiwa na Mbowe hauonekani
Tunaoelewa tumeelewa amemwambia magufuli amsikilize TUNDU LISSU.
Ninyi ndo viazi, unakatika kushangilia kuwa tutakaa chini tuangalie resolution ambayo ni win win lkn bila kwako ww ni kuwa umeshashinda ! Hii ni step moja tu ngoma bado mbichi,maana wakikomaa sheria na mikataba waliosaini inasemaje basi game imeishana next level ni mahakama ya usuluhishi ambayo wanaangalia sheria na mikataba na sio ngonjera zenu za kibashite !!
Ukiwa hivyo CCM ,wanakuona mbaya wao.Bashe ni mmoja wa wabunge wachache wa ccm wenye akili kubwa ya kiwango cha Lissu, wengine hakuna kitu
Huyo ndio hovyo kabisaTroll JF.
Wengine waviziaji wa hoja,wanatumia akili za watu wengine,vinyonga,hawajiamini,kuwepo kwao bungeni wakiwa wengi ndiyo kumetufikisha hapa!Wanafiki wa rohoni kila kitu kwao ndiyoooo!Bashe ni mmoja wa wabunge wachache wa ccm wenye akili kubwa ya kiwango cha Lissu, wengine hakuna kitu