Hahahah mapenzi ya dhati kusaidiana
1. Chakula bado kipo hali ya uji uji, huwezi kutumia nguvu mikono miwili kukoroga.
2. Moto ni mdogo sana (nishati joto ni ndogo kama vile moto hauwaki) huwezi kuivisha chakula kwa moto huo.
3. sufuria siyo yenyewe na material yake ipo km ndoo ya kubebea maji..ikipata moto mkali inaungua hata ukija kuiosha kwa sabuni haifutiki ule weusi wake.
4. Ukaaji sio wa upishi,Ukifikia hatua ya kupika kwa nguvu ya mikono miwili ilibidi awe na banio ili aidhibiti sufuria isijekumwagika.
5. Avaaji wa miwani kwenye jiko hilo la chini, mvuke wa moto na nguvu anayoitumia hapo, anaweza kupata hasara..labda kwenye majiko ya kisasa ya wazungu