Mbona ajenda ya kukopa munaitolea macho Sana?Huyo magufuli aliye kuwa anawadanganya mchana halafu usiku anakopa??? Hebu jiulize alikuta deni Tsh ngapi na akaliacha Tsh ngapi halafu uje useme hapa alikuwa hakopi au laa! kadanganya sana wajinga yule mzee
Waambie hao wanamshangaa mama samia sio mimiMbona ajenda ya kukopa munaitolea macho Sana?
Nani kasema TZ hatustahili kukopa?
Sidhani kuwa ni dhambi watu kuwa tofauti na raisUnafiki ni label ulioamua kuiweka ni perception yako because you are simply blinded na huko unakosimamia kuwatazama wakina Polepole km wako against utawala wakati wanatoa maoni na mitazamo yao…
Na wewe vilevile tunaweza kukuambia unajipendekeza kwa utawala huu ndio maana umetoa hoja hii
Polepole umeelewa
Inakuwa mtetezi wa Rais unatolewa kwenye cheo anageuka mpinzani wa RaisSidhani kuwa ni dhambi watu kuwa tofauti na rais
Hangaya naye anendelea kukopa na ana miezi tu ulingoni ni vyema tusubiri miaka yake ndo tuje tujadili tofauti ila kwasasa hatuwezi kumpa hongera au kumpa lawama ni mapema sanaHuyo magufuli aliye kuwa anawadanganya mchana halafu usiku anakopa??? Hebu jiulize alikuta deni Tsh ngapi na akaliacha Tsh ngapi halafu uje useme hapa alikuwa hakopi au laa! kadanganya sana wajinga yule mzee
Ukiwatazama wewe na mumeo yawahusu nini watanzania? taa.hira jingine hili, mtafurahi.Awali ya yote niseme nimezitama clips walizoachia masaa machache yaliyopita Humphrey Polepole na huyu Ndugu yetu "Darasa la saba" Joseph Kasheku Musukuma almaarufu King Musukuma!..
Tuambie shujaa mwendazake e 1.5 trillion alipeleka wapi?!Rais Samia ni dhaifu hawezi kuongoza nchi makini kama Tanzania. She falls below presidential standards.
Anafaa sana kuwa mwenyekiti wa NGO za akina mama au VICOBA/ VIKOBA...
Ziwapi hizo clip?Awali ya yote niseme nimezitama clips walizoachia masaa machache yaliyopita Humphrey Polepole na huyu Ndugu yetu "Darasa la saba" Joseph Kasheku Musukuma almaarufu King Musukuma...
...unafiki ni mbaya sana....Hatuogopi mawazo mbadala bali hatupendi hoja zenye misingi ya unafiki!
Endelea KUUFUKUZA upepo na mawazo ya kijima.....Mwanaume kuongozwa na mwanamke kunahitaji uwe na moyo wa chuma, hangaya anazingua tu alafu muda hauendi kabisaaa
Polepole anataka kutuaminisha kuwa Tanzania ni nchi ya KIKOMUNISTI ambayo inatakiwa iwe kinyume na nchi za MAGHARIBI....maneno yake ni makali sana kutolewa na mtu aliyepata kuwa katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM.....Unafiki ni label ulioamua kuiweka ni perception yako because you are simply blinded na huko unakosimamia kuwatazama wakina Polepole km wako against utawala wakati wanatoa maoni na mitazamo yao…
Na wewe vilevile tunaweza kukuambia unajipendekeza kwa utawala huu ndio maana umetoa hoja hii
JPM(RiP) alikuwa ni rais wetu na aliyafanya mazuri aliyoyafanya.....Wewe mtoa mada ni bure kabisa.
Kwa akili yako unaweza kumlinganisha JPM na huyo mtu wenu.
JPM ni habari nyingine kabisa. Tangu kuumbwa Ulimwengu, Watanzania hatujawahi kununua mbolea sh.90,000/- ,lakini sasa hiyo ndo bei iliyopo sokoni.
Kwa ujumla vitu vinapanda bei kwa zaidi ya 47%.
Ebu tuambie, yule aliyejiunganishia Bomba la Mafuta ya serikali yuko wapi sasa, yale madawa ya kulevya yaliyoshikwa yako wapi na wahusika wako wapi sasa?
Angekuwepo JPM upumbavu kama huo usingetokea kabisa.
Ni aibu kubwa sana. Tanzania ina kila kitu lakini bado tunapenda kuzurura huku na huko kutafuta MABWANA wa kutusaidia.
RIP, JPM BABA YETU.
Jisemee nafsi yako usiisemee mitaa ya Tanzania yote.....We mleta mada ndio mnafiki na mzandiki number moja, mama kafungulia nchi mwache pole pole aongee sababu yupo free, alafu kingine tuu nikuambie mtaani polepole tunamuelewa sana huwezi amini.
Eti mshauri wa Hangaya ni kikwete. Pathetic
RIP JPM baba yako!Wewe mtoa mada ni bure kabisa.