Humphrey Polepole, Musukuma na "Kakikundi" kao tunawatazama kwa makini sana!

Unafiki ni label ulioamua kuiweka ni perception yako because you are simply blinded na huko unakosimamia kuwatazama wakina Polepole km wako against utawala wakati wanatoa maoni na mitazamo yao…

Na wewe vilevile tunaweza kukuambia unajipendekeza kwa utawala huu ndio maana umetoa hoja hii
Sidhani kuwa ni dhambi watu kuwa tofauti na rais
 
Huyo magufuli aliye kuwa anawadanganya mchana halafu usiku anakopa??? Hebu jiulize alikuta deni Tsh ngapi na akaliacha Tsh ngapi halafu uje useme hapa alikuwa hakopi au laa! kadanganya sana wajinga yule mzee
Hangaya naye anendelea kukopa na ana miezi tu ulingoni ni vyema tusubiri miaka yake ndo tuje tujadili tofauti ila kwasasa hatuwezi kumpa hongera au kumpa lawama ni mapema sana
 
Awali ya yote niseme nimezitama clips walizoachia masaa machache yaliyopita Humphrey Polepole na huyu Ndugu yetu "Darasa la saba" Joseph Kasheku Musukuma almaarufu King Musukuma!..
Ukiwatazama wewe na mumeo yawahusu nini watanzania? taa.hira jingine hili, mtafurahi.
 
Kila uchao ndg.Polepole ananishangaza sana na hii tabia yake mpya.

Wala hakuhitajiki akili nyingi kujua kipi anakilenga.

#SiempreJMT
#NchiKwanza
 
Wewe unaweza kuwakimbia wazungu?

Kiongozi gani afrika anaweza kuthubutu kufanya vita dhidi ya hao watu?

Unafanya nao Vita ili iweje?

Hii nchi si ya KIKOMUNISTI.

Akili za kitoto tu.

#SiempreJMT
#NchiKwanza
 
Mwanaume kuongozwa na mwanamke kunahitaji uwe na moyo wa chuma, hangaya anazingua tu alafu muda hauendi kabisaaa
Endelea KUUFUKUZA upepo na mawazo ya kijima.....
FB_IMG_16307140795615105.jpg
 
Unafiki ni label ulioamua kuiweka ni perception yako because you are simply blinded na huko unakosimamia kuwatazama wakina Polepole km wako against utawala wakati wanatoa maoni na mitazamo yao…

Na wewe vilevile tunaweza kukuambia unajipendekeza kwa utawala huu ndio maana umetoa hoja hii
Polepole anataka kutuaminisha kuwa Tanzania ni nchi ya KIKOMUNISTI ambayo inatakiwa iwe kinyume na nchi za MAGHARIBI....maneno yake ni makali sana kutolewa na mtu aliyepata kuwa katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM.....

Polepole anatetea siasa hasimu dhidi ya marafiki zetu wa nchi za MAGHARIBI.....

Sitaki kuamini kuwa kwa nafasi aliyopata kuwa nayo ndani ya chama hajui DIPLOMASIA NA SERA YETU YA MAMBO YA NJE kuwa TANZANIA NI NCHI ISIYOFUNGAMANA NA UPANDE WOWOTE.........

Maneno anayoendelea kuyatoa kipindi hiki ambacho mh.Rais SSH alikuwa nje umoja wa mataifa "yanatuchorea" mistari kuwa huyo ndugu wala hana AJENDA ZA KIZALENDO bali uhasimu wake tu wa "kitoto" na "chuki iliyomjaa".....

Polepole aache unafiki....kama anataka siasa na mwenendo wa KIKOMUNISTI kama wale EFF ya akina Tate Julius Malema basi ni muda mwafaka AANZISHE CHAMA CHAKE kwani CCM si chama cha KIKOMUNISTI na kamwe hakitokuwa hivyo.......

#SiempreJMT
#NchiKwanza
 
Wewe mtoa mada ni bure kabisa.
Kwa akili yako unaweza kumlinganisha JPM na huyo mtu wenu.
JPM ni habari nyingine kabisa. Tangu kuumbwa Ulimwengu, Watanzania hatujawahi kununua mbolea sh.90,000/- ,lakini sasa hiyo ndo bei iliyopo sokoni.
Kwa ujumla vitu vinapanda bei kwa zaidi ya 47%.
Ebu tuambie, yule aliyejiunganishia Bomba la Mafuta ya serikali yuko wapi sasa, yale madawa ya kulevya yaliyoshikwa yako wapi na wahusika wako wapi sasa?
Angekuwepo JPM upumbavu kama huo usingetokea kabisa.
Ni aibu kubwa sana. Tanzania ina kila kitu lakini bado tunapenda kuzurura huku na huko kutafuta MABWANA wa kutusaidia.
RIP, JPM BABA YETU.
JPM(RiP) alikuwa ni rais wetu na aliyafanya mazuri aliyoyafanya.....

Naye mh.SSH ni rais wetu anaendelea kutuhudumia watanzania.....

Kwanini ifikie mahali tuwapambanishe Marais WETU wawili ambao ADA NA KAWAIDA YETU NI KUACHIANA VIJITI VYA UONGOZI KWA HESHIMA NA TAADHIMA?!!!

#SiempreJMT
#NchiKwanzaKablaYaChochote
 
We mleta mada ndio mnafiki na mzandiki number moja, mama kafungulia nchi mwache pole pole aongee sababu yupo free, alafu kingine tuu nikuambie mtaani polepole tunamuelewa sana huwezi amini.
Jisemee nafsi yako usiisemee mitaa ya Tanzania yote.....
 
Wewe mtoa mada ni bure kabisa.
Kwa akili yako unaweza kumlinganisha JPM na huyo mtu wenu.
JPM ni habari nyingine kabisa. Tangu kuumbwa Ulimwengu, Watanzania hatujawahi kununua mbolea sh.90,000/- ,lakini sasa hiyo ndo bei iliyopo sokoni.
Kwa ujumla vitu vinapanda bei kwa zaidi ya 47%.
Ebu tuambie, yule aliyejiunganishia Bomba la Mafuta ya serikali yuko wapi sasa, yale madawa ya kulevya yaliyoshikwa yako wapi na wahusika wako wapi sasa?
Angekuwepo JPM upumbavu kama huo usingetokea kabisa.
Ni aibu kubwa sana. Tanzania ina kila kitu lakini bado tunapenda kuzurura huku na huko kutafuta MABWANA wa kutusaidia.
RIP, JPM BABA YETU.
RIP JPM baba yako!
Naona hujaacha mavi yako nyumbani.
 
Back
Top Bottom