Huku sasa ni kudhalilishana na Kujidhalilisha kwa Misingi ya Rangi

Hii imetokea juzi tunafanya training mahali. Kuna Mzungu kaja kachelewa kakosa kiti yaani nikamuona mbongo mwenzangu anaenda kumbebea kiti ktk venue nyingine. Yaani niliumia sana.
Hospitality. Kuonesha ukarimu kwa mgeni ni tamaduni za waafrika walio wengi na sehemu ya ustaarabu wetu na si utumwa. Inakuwa vigumu kumfanyia hivyo Mzambia kama hujagundua ni Mzambia maana tunafanana rangi.
 
Sasa wewe ulijuaje kama huyo mbongo kamletea huyo mzungu kiti coz ya uzungu wake? Pengine kaona tu huyu ni mgeni wacha nimsaidie,nadhani wewe ndio unachembe ya ubaguzi.
 
Hospitality. Kuonesha ukarimu kwa mgeni ni tamaduni za waafrika walio wengi na sehemu ya ustaarabu wetu na si utumwa. Inakuwa vigumu kumfanyia hivyo Mzambia kama hujagundua ni Mzambia maana tunafanana rangi.
Kweli kabisa
 
Ubaguzi duniani hauwezi kuisha labda utapungua tu,Hawa watu naturally hawaikubali rangi nyeusi basi tu......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…