Kutokana na sekta nyeti hasa za huduma kuathiriwa sana na zoezi la kuwaondoa watumishi wenye vyeti feki, matokeo yataanza kuonekana baada ya sekta za elimu na afya kuathirika zaidi na kudorora kwa huduma hizo, huduma mbalimbali zinategemewa kuathirika mfano afya na elimu kukosekana au kupungua kwa kasi kutokana na wengi kuondoka kwa vyeti feki.