Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,349
Kwa haya Magepu kweli tutaacha Kuchanganyikiwa???? 1.6M/month only for House rent???? Na bado ukaamua kuua kabisa eti upo teyari Kulipa Kodi ya Mwaka.
Embu tumia Hiyo hela kujenga ya kwako tuone kama Hutomaliza only 2Month na ukaa kwako.
Chaaaa Leka naiyo mleu!
Kaka inaweza kuwa Kampuni pia, so usiwe na pressure kwamba umeachwa sana