mr promise
Senior Member
- Feb 14, 2015
- 147
- 135
Magufuli mwanasayansi so usishangae
kwahiyo wewe unafikiria kuwa rais anaweza au anajua kila kitu nakwamba waliopo chini yake hawana mawazo mazuri ya kumshahuri.Wawe na hofu hata kama ni furaha kijubwa kazi ifanywe na nchi iende mbele. Mambo ya kuangalia usoni ndio yanayoturudisha nyuma na tuliona madhara yake huko nyuma. Kwa sasa ukizingua tu, na wewe unazinguliwa hakuna kuangalia usoni. Mbona watanyooka
Na inaenda pabaya pia.Nchi yetu ilifika pabaya !
Kitendo cha kuchukua Wenye madoa doa akawapa madaraka kimemshushaSasa huoni kuwa jamaa wa NIDA keshahukumiwa na akipelekwa mahakamani jaji lake ni moja tu, kumfunga? Kimsingi magu asiwe anatoa hukumu kwani anawanyima wanasheria uwezo wa kufanyakazi kwa kuwaingilia. Hebu awaachie wenye kazi yao kwani watatoa hukumu za kumpendeza yeye na hii ni kinyume cha haki.
Wakati mwingine yaruhusu masikio yako yasikie usichojipenda toka kwa mtu unaenchukia.Speech za Rais Magufuli zinashida kidogo, Rais akizungumza anazungumza kama mtu aliyejaa visasi na sifa nyingi, hana utaratibu mzuri katika kupangilia kile anachokisema.
Kama rais anapaswa kuzungumza kwa utaratibu na mpangilio hata kama ni sehemu anasisitiza jambo, vijembe kwa walio chini yake ni kutafuta tu kick kwa wananchi ambao mwenyewe keshatujua na amejawa na sifa tunazompa kila siku. Rais ni reflection ya watu alionao.
Nafuu vimepatikana hata hivyo vitambulisho 22ml kwa hizo Tshs.billion 167 yeye Magufuli Zilipotea billion 262 bila kufanya kazi yeyote katika Wizara aliyokuwa akiiongoza lakini anajifanya kama haoni vile wakati yeye kama yeye ni Jipu.Mbona Rais aliwambia hotuba niliyoandikiwa hii sijaisoma maana aina ninachotaka kuwambia hapa!Hivyo anauchungu na serikali yake anasema mtumishi analipwa 35ml aiwezekani!,akauliza mtu umemkamata na meno ya tembo au madawa mkononi unasema kesi inasubiri upelelezi!???,kuhusu swala la vitambulisho nani mwenye kitambulisho chenye sahihi yake?ila cha kupigia kura kina sahihi yako..na ni bilioni 2 vitambulisho 22ml wakati vya taifa ni 2ml na vimekula 167bilion sasa unaweza kuona alikuwa anasisitizia utii wa sheria.
Wewe umeridhika kupewa vitambulisho visivyokuwa na saini yako kweli? Au kutengeneza vitambulisho visivyozidi milioni mbili wakati NEC wametengeneza zaidi ya milioni ishirini kwa fedha kiduchu!Hahaaaah serious ila imenibidi nicheke...ni kuhusu NIDA nini maana alivyomsema yule mkurugenzi..Dah!!!
Kwani alikuambia anataka kupanda?Kitendo cha kuchukua Wenye madoa doa akawapa madaraka kimemshusha
Kaka hawa ni wale waliopewa kazi maalum ya kupinga kila kitu kutokana na hasira za kushindwa uchaguzi! Lakini hawana jinsi lazima waisome namba.Mtanzania hata utendewe jema ni shida tupu. Aliyetuloga alifariki
Wananikela xana tena xanaaaa. Hakika aliyewaloga wa tz alifariki na alikua na roho mbaya xana. Haiwezekan mtu anajitahidi kufanya mazuri halafu kuna mijitu inaona kinachofanyika hakitakiwi. Inasikitisha kwa kweli.Kaka hawa ni wale waliopewa kazi maalum ya kupinga kila kitu kutokana na hasira za kushindwa uchaguzi! Lakini hawana jinsi lazima waisome namba.