Hoteli nzuri ya bei nafuu maeneo ya Mbezi beach au Kunduchi

Mvuvi_papa

Senior Member
Oct 25, 2012
142
67
Wakuu niko Mwanza kikazi na ninatarajia kusafiri early June kwenda Dar maeneo ya Kunduchi Beach kwa shughuli maalum...... naulizia reasonable hotel maeneo hayo na contact zao.
 
Mi zamani nilikuwa naendaga pale VIVA VILA HOTEL ,,,Sijui kama bado inafanya kazi hadi leo Ile hotel kule
 
Kuna lodge ipo mbezi goigi nyuma ya crdb Bank ni nyokoo, utadhani Five star hotel, kwa usiku ni kuanzia 80 ,hutojutia pesa yako, pamejificha sana, kama mtu wa kuchepuka ns kufanya uasherati patakufaa
 
Kuna lodge ipo mbezi goigi nyuma ya crdb Bank ni nyokoo, utadhani Five star hotel, kwa usiku ni kuanzia 80 ,hutojutia pesa yako, pamejificha sana, kama mtu wa kuchepuka ns kufanya uasherati patakufaa

Aisee. Nieipenda. Wamefunga yale macamera yao kwenye corridor?
 
Kuna moja inaitwa nellys inn iko mbezi beach elfu 40 bed and breakfast nazani itakufaa Google utaiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…