Hospitali nchini ziongeze wataalamu wa huduma ya meno

Athumani Chausa

New Member
Oct 10, 2023
1
2
Huu ni ushauri katika Hospitali zetu waongezwe wataalamu ambao wataweza kufanya huduma bora za kuvisha meno yenye tundu kofia za silva ili kuepuka usumbufu katika utafunaji.

Kumekuwa na changamoto hii ambapo muda mwengine kung'oa kunasababisha kupoteza muonekano mzuri wa kinywa.

1000023615.jpg

1000023612.jpg
 
Jambo jema kabisa hilo , na garama pia zipunguwe kwakweli nilikwenda hospital moja wakaniambia kuweka kale kakofia juu ya jino sio kuziba ni sh 1.2 ml kwa meno 3 yamevunjika duh!
 
Jambo jema kabisa hilo , na garama pia zipunguwe kwakweli nilikwenda hospital moja wakaniambia kuweka kale kakofia juu ya jino sio kuziba ni sh 1.2 ml kwa meno 3 yamevunjika duh!
Million 1.2 Hapo Itabidi Tubaki Na Mapengo Tu Ingawa Changamoto Uwezo
 
Back
Top Bottom