Hongera Rais Magufuli kwa kutupa somo la leo kuwa "Mbwa ukimjua jina Hakupi Tabu''

Haha we ungepewa ungekataa kwa akili yako ya kibongo.....kwa kwel mm nngem copy D. Cameron
Mimi ningekataa na kwa taarifa yako siasa simo kabisa. Nitatoa visingizio mpaka nitamhonga Daktari anipe vipimo fake kuw akiafya sifai kuwa na nafasi hiyo. Sina njaa mimi ninaikimbiza shilingi kwa kasi kubwa. mambo ya propaganda na kutenda dhambi za uongo na za kushinikizwa sitaki kabisa na Mungu wangu analijua hili fika.
 
Acha kujifanya hamnazo wakati akili unazo. Kamuulize Mhe. Polepole, yale aliyokuwa anayanadi kwenye runinga kuhusu wakuu wa wilaya na mikoa, bado anaamini vile vile au msimamo umebadilika?

Polepole alitafakari jinsi Nape, Makonda na Mwigulu walivyojifanya controversial kwa kuwaandama makada waandamizi wa chama chao na upinzani kwa jumla na wakatoka, akaamua ajiunge nao leo ni DC, hana budi kuyakana maoni yake kuhusu kipengele cha ma RC na ma DC kwenye katiba! Kuelekea kura ya maoni kuhusu katiba pendekezwa Polepole atakuwa msitari wa mbele kwenye timu ya kampeni ya CCM ya kura ya NDIYOOOOO!
 
We study History so as to Pedict the Future.... Well said mkuu
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Haha we ungepewa ungekataa kwa akili yako ya kibongo.....kwa kwel mm nngem copy D. Cameron
Hii TZ tunachonga sana hasa sisi tusio na ndugu wa kutushika mkono, sioni kipya Mh. JPM kuteua watu ambao tayari wazazi wao au wao wenyewe wamekitumikia chama kwa muda mrefu.

Fuatilia chaguzi za marekani kwenye kiti cha uraisi utangundua kitu, Kenya vilevile, Zanzibar nao pia kwani rais kakosea wapi?.....fanya kazi uonekane watengenezee nduguzo njia za kupita.
 
Mkuu umenijibu mm au...irrelevant ....I'm neither agree nor disagree
 
Sasa ikiwa haijipitishwa mlitaka itekelezwe?
Waziri mkuu wa Uingereza amejiuzulu baada ya wananchi walio wengi kutopitisha UK iendelee kuwa ndani ya umoja wa Ulaya.Ni principle tu ya mtu binafsi tu.Huwezi kudai kuwa hii nyumba hapa ni mbovu,inatakiwa ibomolewe ijengwe nyingine kwani hata vyoo vyake ni vibovu.Watu wengi wanakukatalia na baadaye eti unapewa offer ya kutumia vyoo vilevile unakubali eti kwa kuwa wengi walikataa.

Si ungewambia basi haya tengenezeni kwanza hata vyoo tu?
 
Jaman hebu kwa serikali hii baadhi ya mitazamo,gusidanganyane,hivi huyo Mnyika na Kubenea ni threat kiasi gani,hadi ati pangua pangua ya wakuu wa wilaya ihusiswe na wao,tuache kupeana kick za uongo na ukweli.

NImekuwa mfuatiliaji mkubwa Kubenea from day one kawa mbunge,ninachoweza kisema kwa maneno machache ni kwamba hajapata lick bado,ni kweli,ndiyo alijaribu kujibrand kama wabunge machachari lakini sijaona, moja ama hana maandalizi ya kuwa machachari kama vile kujisomea na kuzitawala kanuni,pia ni mkurupukaji,sasa kusema ati rais amlete polepole kumkabili yeye si kweli.

Nije kwa Mnyika yeye,huyu kwa sasa ni kama baadhi ya meno yamepungua,haumi kama zamani,kwa kuwa kile alichokuwa akisimamia, Edo alishakiyeyusha,hivyo anazungumza kwa mipaka sana kuogopa baadhi ya maneno kuweza kuwarudia, kama vile ufisadi,lakini piabaada ya kutokuwa na utulivu bungeni hiyo pia inawanyonya nguvu.

Hivyo kuhusisha uteuzi wa wakuu wa wilaya na hasa kuletwa ubungo kwa Pole pole kwamba kawafuata hao wabunge wawili si kweli kabisa,kila zama na kitabu chake.
 
-Katika Katiba Wananchi ya Jaji Warioba ilipendekezwa kuwa vyeo vya Ukuu wa Wilaya na Ukuu wa Mikoa viondolewe kwani ni Vyeo Mizigo.
::Jana Mheshimiwa Kippi Warioba mtoto wa Jaji Warioba ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Moshi.

-Namnukuu Mheshimiwa Humphrey Polepole katika Chambuzi zake za Katiba Pendekezwa..."Wamerudisha wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wananchi mlisema sana juu ya uwepo wa wakuu wa mikoa na wilaya.. Kwamba hivi ni vyeo mzigo na vya misingi ya kubebana,kwa namna walivyo rudi sitashangaa wakiendelea kuwa makada wa vyama vya siasa. Sifa kuu yao itakuwa ni kuwa kada tu wa chama asiye na sifa za ziada.Haya maoni ya kuwaweka wakuu wa mikoa katika namna hii wameyatoa wapi.? Maoni hayo mimi sikuyaona Tume ya Katiba kipindi chote nilichokuwepo" .
::Jana Humphrey Polepole kahamishwa na kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya Mpya ya Ubungo.

HONGERENI KWA TEUZI WAKUU, HONGERA JPM KWA KUTUPA HILI SOMO LA LEO KUWA "Mbwa ukimjua jina Hakupi Tabu" !...

Anyway,Niko Maeneo ya Bandari yetu Kuu East Africa huku naangalia Mandhari nzuri ya Bandari yetu,Nimeona Daraja la Kigamboni, Nimeshuhudia Makontena Mengi sana, Nikabaki najiuliza:
Yuko Wapi Mheshimiwa Kassim Majaliwa ,mbona umekuwa kimya sana Mkuu?.Tumezoea zile hekaheka zako za "Utumbuaji" wa papo kwa papo kama enzi za yule Mama aliyedai katumiwa Sms na "Mh Sospeter Mhongo" kuwasha flow meter ,enzi zile za "Waficha Sukari" na mikasa ya bei elekezi ya Tshs 1800/=.. Uko wap?, Kulikoni?

----------------------------
Nesto E Monduli
TICTS,Kurasini.
Hivi wajinga wa nchi hii wataisha lini? Kwa akili yako unafikiri huyu Waziri Mkuu wa bandari? Mambo yapo mengi ya kufanya na bandari ni safi sasa aende huko kufanya nini?
Katiba inayofanya kazi katika nchi hii inatambua uwapo wa wakuu wa mikoa na wilaya.
 
Jaman hebu kwa serikali hii baadhi ya mitazamo,gusidanganyane,hivi huyo Mnyika na Kubenea ni threat kiasi gani,hadi ati pangua pangua ya wakuu wa wilaya ihusiswe na wao,tuache kupeana kick za uongo na ukweli.NImekuwa mfuatiliaji mkubwa Kubenea from day one kawa mbunge,ninachoweza kisema kwa maneno machache ni kwamba hajapata lick bado,ni kweli,ndiyo alijaribu kujibrand kama wabunge machachari lakini sijaona,moja ama hana maandalizi ya kuwa machachari kama vile kujisomea na kuzitawala kanuni,pia ni mkurupukaji,sasa kusema ati rais amlete polepole kumkabili yeye si kweli.Nije kwa Mnyika yeye,huyu kwa sasa ni kama baadhi ya meno yamepungua,haumi kama zamani,kwa kuwa kile alichokuwa akisimamia,Edo alishakiyeyusha,hivyo anazungumza kwa mipaka sana kuogopa baadhi ya maneno kuweza kuwarudia,kama vile ufisadi,lakini piabaada ya kutokuwa na utulivu bungeni hiyo pia inawanyonya nguvu.Hivyo kuhusisha uteuzi wa wakuu wa wilaya na hasa kuletwa ubungo kwa Pole pole kwamba kawafuata hao wabunge wawili si kweli kabisa,kila zama na kitabu chake.
Duh, Umejibu uzi au Umehemka kaka?....
 
Hivi wajinga wa nchi hii wataisha lini? Kwa akili yako unafikiri huyu Waziri Mkuu wa bandari? Mambo yapo mengi ya kufanya na bandari ni safi sasa aende huko kufanya nini?
Katiba inayofanya kazi katika nchi hii inatambua uwapo wa wakuu wa mikoa na wilaya.
Soma tena
 
Back
Top Bottom