Ahahahahahaaa hivi we kweli ni Mtanzania?Tatizo kila kitu nyie mnapinga tu.....mlitaka mpate mtu gani...sijui km unaukumbuka mgao ulio kuwepo kabla ya uchaguzi na hapakuwa,na sababu za msingi...bado mmeshindwa kulikumbuka hlo...ama kweli shukrani za punda...
Huyu chizi umeme wa wapi mungu wangu au kuna maeneo ya watwa na cc kwetu watwana umeme bado siku nyingine haupo siku nzimaKwa hili la kukomesha mgao wa umeme ulio kuwa ukinufaisha baadhi ya watu kweli nakupongeza sana.
Nilikuwa napata shida sana kuelewa kuwa mvua inanyesha lakini tunakuwa na mgao kila siku.
Kweli wewe ni mwanaume wa shoka!
KURA YANGU 2020 UNAYO.
Wakuu, ongezeni hapo chini jambo lingine linalokupa sababu ya kumpongeza Rais Magufuli.
Mbona hoja nyingi kila mtu anasema ninapoishi bila kutaja kama ni tatizo lieleweke liko wapi na wapi kuna unafuuMkuu, unaishi wapi kwenye mgao. Let's be honest, JK alijitahidi kuweka miundombinu ya umeme, ninapoishi sikumbuki mara ya mwisho umeme kukatwa...I'm being honest na wala simpi jamaa sifa!!
umesahau kuwa Tanesco wanauza Umeme kwa bei ya harasa,MPE hongera ila kinachofanyika ni sasa na mbuni kuficha kichwa akidhani amejificha,ni swala la muda tuKwa hili la kukomesha mgao wa umeme ulio kuwa ukinufaisha baadhi ya watu kweli nakupongeza sana.
Nilikuwa napata shida sana kuelewa kuwa mvua inanyesha lakini tunakuwa na mgao kila siku.
Kweli wewe ni mwanaume wa shoka!
KURA YANGU 2020 UNAYO.
Wakuu, ongezeni hapo chini jambo lingine linalokupa sababu ya kumpongeza Rais Magufuli.
Unataka Jpm akuletee hiyo Milo? Pambana mjombaKwa bahati mbaya hata umeme uwake 24 hours ni bure kama kuna ugumu wa kiuchumi wa wanajamii. Ningepefurahi iwapo ningesikia kuwa watu wanapata Milo mitatu kila siku.
Mkuu mbona unashindwa kuwa mwenye fadhira..haya sasa twambie wakati ule wa Jk tulikuwa tunalipa umeme kwa gharama kubwa ikiwemo luku charges , kipi kilifanyika cha maana...tena ndo mgao ulizidi...sasa bei imepungua na luku charges imeondolewa bado huoni unafuu..mgao lia umeisha bado huoni....aisee sisi binadamu ni shidaaaumesahau kuwa Tanesco wanauza Umeme kwa bei ya harasa,MPE hongera ila kinachofanyika ni sasa na mbuni kuficha kichwa akidhani amejificha,ni swala la muda tu
SASA HAKUNA MGAO..... WANAKATA UMEME KWA KAZI ZA KUONGEZA UMEME KWENYE GRIDI.....Kwetu hatuna umeme siku ya tatu, labda mwenzetu unakaa laini moja na bashite, hali ni mbaya kuliko kipindi kiingine chochote kile
Umejiunganishia kiolela wewe ata sura ya meter huijuiKwa hili la kukomesha mgao wa umeme ulio kuwa ukinufaisha baadhi ya watu kweli nakupongeza sana.
Nilikuwa napata shida sana kuelewa kuwa mvua inanyesha lakini tunakuwa na mgao kila siku.
Kweli wewe ni mwanaume wa shoka!
KURA YANGU 2020 UNAYO.
Wakuu, ongezeni hapo chini jambo lingine linalokupa sababu ya kumpongeza Rais Magufuli.
La kumi na tano wewe je?Umeishia darasa la ngapi ?
Kwa upande wa kukatika umeme Serikali imejitahidi ,tofauti inaonekana waziNiko mkoani mkuu, tangu uchaguzi uishe hakuna mgao wa umeme huku..hadi siku hzi tunaulizana majenereta yanafanana vp??
kivule kila j5 umeme hakuna,huku kwetu ndo hakuna guarantee sidanganyii hata kidogo..Mkuu, unaishi wapi kwenye mgao. Let's be honest, JK alijitahidi kuweka miundombinu ya umeme, ninapoishi sikumbuki mara ya mwisho umeme kukatwa...I'm being honest na wala simpi jamaa sifa!!
Ungeishukuru tanesco ningekuona wa maana sana. . . .Kwa hili la kukomesha mgao wa umeme ulio kuwa ukinufaisha baadhi ya watu kweli nakupongeza sana.
Nilikuwa napata shida sana kuelewa kuwa mvua inanyesha lakini tunakuwa na mgao kila siku.
Kweli wewe ni mwanaume wa shoka!
KURA YANGU 2020 UNAYO.
Wakuu, ongezeni hapo chini jambo lingine linalokupa sababu ya kumpongeza Rais Magufuli.
Hata mi nilitaka kusema hivyo, huku masaki wiki yote hii umeme unakatika, tena Mara nyingine hata ukiwepo tunalazima kuwasha jenereta, kwa kuwa unakuta baadi ya vyumba vina umeme vingine havina, hasa hapa maeneo ya chole mpaka superLabda unaishi pale Ikulu ya Dar es salaam ndio hakuna mgao wa umeme