wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 554
kila siku unaambiwa nyumbu husikiiii.
labda hawajui kuombwa radhi
ukiombwa radhi na unaembwa radhi huridhiki na ombi hilo hauna ubinadamuUbaguzi haukufurahisha CUF ila CCM wanaona ubaguzi ni swala la kawaida,kwahiyo CCM waliomba radhi ili kuwafurahisha CUF.
Kuna kuomba radhi kwa dhat na kuomba radhi kwa kuwa hamna namna nyingine!CCM hawaombi radhi maana matendo yao hayaoani na hicho wanachokisema ,huwezi kuomba radhi hapa halafu sehemu nyingine unalikana hilo tukio kuwa si wewe bali ni wapinzani wako ndio wanaoeneza propaganda za chuki na kuishinikiza dola iwasake!kila siku unaambiwa nyumbu husikiiii.
labda hawajui kuombwa radhi
kwenye sherehe za mapinduzi kulikuwa na bango ambalo halikuwafurahisha wafuasi wa Cuf.
ki ubinadamu na ustarabu CCM imewaomba radhi.
siasa si ugomvi wala mafarakano ni hoja na maridhiano.
kwa maana hiyo hakuna umuhimu tena makongamano ya kujadili kitu kilichoombwa radhi.
itakumbukwa wenje akiwa waziri kivuri wa mambo ya nchi za nje akiwalisha bajeti kivuri bungeni alitamka kuwa Cuf ni chama kinasapoti chama cha mashoga (walibel) alitakiwa awaombe radhi alikataa katakata hata chama chake chadema hakikuomba radhi.
leo eti wameshikilia bango suala ambalo wahusika wameomba radhi.
Kuna kuomba radhi kwa dhat na kuomba radhi kwa kuwa hamna namna nyingine!CCM hawaombi radhi maana matendo yao hayaoani na hicho wanachokisema ,huwezi kuomba radhi hapa halafu sehemu nyingine unalikana hilo tukio kuwa si wewe bali ni wapinzani wako ndio wanaoeneza propaganda za chuki na kuishinikiza dola iwasake!
Ndi uamini kuwa wale hawaombi radhi bali wametahayari!Mkuu naongezea hapo, vilevile hilo bango limepitishwa siku mbili mfululizo mbele ya hao hao Viongozi.
Sasa mkuu kwa mlinganisho wako unajaribu kutueleza kuwa CCM imefanya vile makusudi kwa kuwa Lowasa kajinasibisha na walutheri (kama kweli madai yako ni sahihi au upotoshaji wa tukio zima)?Hahahahah hawa jamaa huwa wananishangaza sanaa... huwa nawafananisha na nyani asiyeona kundule... lakin pia huwa nawafananisha na nyumbu anayepoteza kumbukumbu kila baada ya dkk 5 lakini si hivyo tu huwa nawafafanisha na nyumbu huyohuyo kwa kufata mkumbo na kufata wale manyumbu wenzao wa mbele wanaowapoteza.... baada ya kusema hivyo naomba niwakumbushe nyie wanaowaita manyumbu na nyie mnadhihirisha kuwa kweli ni manyumbu.... je mmesahau Kauli ya aliyekuwa mgombea wenu wa urais ya kuomba kura kanisani na kusema sasa ni zamu ya walutheri..... hamuoni kuwa huyo alikuwa akiwagawa watanzania vibaya kuliko hata huyo aliyebeba bango????? Je kuna kiongozi yeyote wakweli aliomba radhiii???? Mhhhhh asingeweza kwani hakuna kiongozi wenu mkuu ambaye huwa anakosea sindio????? Poleni sanaaa watu nyie.....
Na yule wa raisi hatatoka kskazini umemsahau..??Hahahahah hawa jamaa huwa wananishangaza sanaa... huwa nawafananisha na nyani asiyeona kundule... lakin pia huwa nawafananisha na nyumbu anayepoteza kumbukumbu kila baada ya dkk 5 lakini si hivyo tu huwa nawafafanisha na nyumbu huyohuyo kwa kufata mkumbo na kufata wale manyumbu wenzao wa mbele wanaowapoteza.... baada ya kusema hivyo naomba niwakumbushe nyie wanaowaita manyumbu na nyie mnadhihirisha kuwa kweli ni manyumbu.... je mmesahau Kauli ya aliyekuwa mgombea wenu wa urais ya kuomba kura kanisani na kusema sasa ni zamu ya walutheri..... hamuoni kuwa huyo alikuwa akiwagawa watanzania vibaya kuliko hata huyo aliyebeba bango????? Je kuna kiongozi yeyote wakweli aliomba radhiii???? Mhhhhh asingeweza kwani hakuna kiongozi wenu mkuu ambaye huwa anakosea sindio????? Poleni sanaaa watu nyie.....
So mlifanya hivyo ili mhombe radhi? Nguruwe ni nguruwe tuukiombwa radhi na unaembwa radhi huridhiki na ombi hilo hauna ubinadamu