- Thread starter
- #41
Hawajadili tukio moja wanajadili uwezo wa Jeshi la polisi kwa ujumla, mbinu wanazotumia, bajeti inatosha?, weledi, vifaa, uwezo wa viongozi wa jeshi hilo nk.Ukawa bhana, kwa hivyo wangejadili hoja binafsi ya mbowe wangeweza kubaini huyo jambazi aliyejificha kwenye majani?!
Mnayo akili sana.....2020 tutawapa nchi!!