Hoja binafsi: Wabunge wanaotoka nje ya bunge hawatudharau sisi wananchi?

scatter

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,667
926
wakuu kama mwananchi wakawaida na niliyepiga kura yangu kwa foleni nilitarajia awamu hii suala la wabunge kuwa kutoka au kutolea nje kwa kutoelewana ndani lingekuwa ndoto
lakini majuzi hapa nimeshudia wabunge wametolewa nje bunge na kiti baada ya kutoelewana je sisi wananchi wakawaida bado wanatuchukuliaje maana sisi tunataka watu wajenge hoja chanya maana wanalipwa pesa zetu
ombi kuna wananchi hapendi mwenendo wakutoka toka nje kama kutoka kuwe mwisho baada ya hoja za msingi kuwasilishwa.
 
Hapana, wanamdharau Tulia maana wanaona hana akili za kutosha kuwaongoza.
 
Hata huelewi maana ya bunge mkuu,wameongea tofauti kwenye kampeni zao sasa kazi siyo kupelekwa pelekwa na Mteule bali kusimamia kanuni na sheria
 
Reactions: BCN
juzi QUOTE="centry, post: 19639922, member: 409170"]Uliwaona wapi wakitoka bungeni? Au umesimuliwa?[/QUOTE]
juzi walitolewa na vyombo vya habari viliripoti tukio
 
QUOTE="maonomakuu, post: 19639912, member: 307427"]Hata huelewi maana ya bunge mkuu,wameongea tofauti kwenye kampeni zao sasa kazi siyo kupelekwa pelekwa na Mteule bali kusimamia kanuni na sheria[/QUOTE]
unajua maana ya kupelekwa pelekwa pale sheria na kanuni ndio zinafuatwa hakuna maamuzi ya mtu binafsi pale elewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…