Mbina yaza
Member
- Apr 8, 2023
- 65
- 172
Mimi ni mgeni nakuja kwenu kwa unyenyekevu wa hali ya juu sana, kuomba msaada wenu wa kunikaribisha.
Nitashukuru sana kama mtanipokea na kunielekeza njia zakupita.
Nitashukuru sana kama mtanipokea na kunielekeza njia zakupita.