Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Angalia lakini. Bora uitwe na Makonda kuliko KIGWA!Naombeni kupita jamani
Inawezekana hata hajuhusishi na madawa ya kulevya. Ila hizi mali anazotaja kuzimiliki hazina uhalisia wa hiyo thamani anayotaja, au hana mali kama hizo, Ni mbwembe tu!500milioni kwa Mziki gani? Punda At Work.
Duh kwa kumaanisha huko nimeshangaa mpaka basiAngalia lakini. Bora uitwe na Makonda kuliko KIGWA!
Anazoo hapaa kwa kimara napafahamu na hyoo garii Prado mkuu anayokwel na anakosta tatu nazifahamu za kukodisha kwenye kusafirisha abiria mkuu....Inawezekana hata hajuhusishi na madawa ya kulevya. Ila hizi mali anazotaja kuzimiliki hazina uhalisia wa hiyo thamani anayotaja, au hana mali kama hizo, Ni mbwembe tu!
HahaaMuziki pa kujifichia tu shughuli kubwa ipo.