Judi wa Kishua
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,066
- 1,048
Kwahiyo hawajakamata kwasababu serikali haitaki watu walielie,je wakati mawaziri wanatoa amri walikuwa hawajui kuwa kunalialia.Mambo nipolepole
wange kukamata ungekuja kulialia sijui mpoje
ukisema daladala zisisimamishe miji kama Dar ,basi watu watafika kazini saa 7 mchana na watarud kwao saa 9 alfajiriMwananchi we ndio WA kwanza kutekeleza...sasa kama ninyi mnapanda ukijua fika kuwa gari imejaa halafu utake polisi wajuukize?..vitu vingine ni sisi kwanza ndio maana iliomba tumuunge mkono...sasa ninyi badala ya kukataa kupanda daladala iliyojaa...mnapanda halafu mnakuja kutoa lawama kwa magufuli kweli!!!!!??...kama msomi una akili hii VP wale wenzangu na mm mule kakonko?
mnajifurahishaMagufuli ameshindwa kabla hajaanza
Mambo nipolepole
wange kukamata ungekuja kulialia sijui mpoje