Hizi hali za umilikishi zikoje kwenye kiingereza?

Mkuu mie si mzuri katika "mabishano" na hakika huwa sipendi ....... let me be the loser and you be the winner of this so called "arguments" between us.

Grammar nimeisoma vizuri na nina hakika na ninachoamini .... by the way I'll never ever change you in whatever knowledge you have an believe as well .....

Note: My time is too worthy to be wasted in arguments.
Jamiiforums ni kwa ajiri ya arguments kama huwezi sign out
 
Jamiiforums ni kwa ajiri ya arguments kama huwezi sign out
Ziwe ni arguments za maana, zenye kuelimisha na zenye kujenga since that's the aim of this particular forum .... to educate and learn from one another in a positive manner ...

I'll never ever waste my precious time for nonsense eti kisa Jf ni kwa ajili ya arguments.
 
Nashkuru nimepata kitu
Hongera kwa nia yako ya kuongeza ujuzi pia kuondoa utata katika matumizi ya lugha hii ya malkia ....

Your curiosity to learn has not only given the answers to your doubts but it has also paved a way towards perfectionism of other members in this forum.
 
Wasalaam wataalam wa lugha ya kiingereza.
Twende kwenye point.

Mf
This is John's pen.
Hii ni kalamu ya John.
Na kama ni ya James tunasema
This is James' pen.

Je kama wamiliki wa hiyo kalamu ni kina James wapo wa 3 tunasemeje?

This is James's pen?
Au
...........
Kwa mtindo huu unataka kudanganywa, maana unafikiri kwa ki-Swahili alafu hoja ya Kiingereza.
 
This is the (three) Jameses' pen.

____________
P.S:
I hate grammer! Click here to know why!

"True fluency in any language is almost always learned by immersion and real-world practice, not by academic study".
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
Note: My time is too worthy to be wasted in arguments.

Samahani mwalimu, "too worthy" si kweli Kiingereza. Unamaanisha "too valuable", sivyo? Au ulitaka kusema "This argument is not worthy enough to waste my time on it"?
 
Mkuu habari gani kuhusu sentence ifuatayo :-

I spent the last vacation with my family together with the Daniels at Ruaha National Park ..."

Je, sentence hiyo ni (a)sahihi ama (b)si sahihi? ... na kama jibu ni (b) ....ni kwa nini?

Kwa upande wangu ni sahihi ikiwa Daniel itatumika kama surname ambayo inawakilisha kundi la watu wanao'share' kitu kimoja (ukoo)
 
Back
Top Bottom