Hizi hali za umilikishi zikoje kwenye kiingereza?

Ok9

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
4,542
4,117
Wasalaam wataalam wa lugha ya kiingereza.
Twende kwenye point.

Mf
This is John's pen.
Hii ni kalamu ya John.
Na kama ni ya James tunasema
This is James' pen.

Je kama wamiliki wa hiyo kalamu ni kina James wapo wa 3 tunasemeje?

This is James's pen?
Au
...........
 
"This is James's pen" sentensi yenyewe tu haiko sahihi kwa swali unalotaka jibu lake.
 
Kumbuka jina la mtu halina wingi, mfano [HASHTAG]#peter[/HASHTAG] haiwezi kuwa [HASHTAG]#peters[/HASHTAG] kwenye wingi kama wewe unavyodai kwenye james
 
Kumbuka jina la mtu halina wingi, mfano [HASHTAG]#peter[/HASHTAG] haiwezi kuwa [HASHTAG]#peters[/HASHTAG] kwenye wingi kama wewe unavyodai kwenye james
Sawa kwa hiyo inabaki hivyo hivyo?
 
Swali kwako pia mtoa mada ..."Itakuwaje kalamu moja kisha hiyo hiyo kalamu imilikiwe na watu 3 tena wenye jina linalofanana ...?

Why do you seek assistance to impossible things?
 
Kumbuka jina la mtu halina wingi, mfano [HASHTAG]#peter[/HASHTAG] haiwezi kuwa [HASHTAG]#peters[/HASHTAG] kwenye wingi kama wewe unavyodai kwenye james
Mkuu habari gani kuhusu sentence ifuatayo :-

I spent the last vacation with my family together with the Daniels at Ruaha National Park ..."

Je, sentence hiyo
ni (a)sahihi ama (b)si sahihi? ... na kama jibu ni (b) ....ni kwa nini?
 
Reactions: Ok9
Zote hazpo sahihi mkuu, "the Daniels" kwanza huwa hatutumii artical kwenye jina la mtu, mf. the juma, the kulwa, the john, hayo pia ni makosa mengine, pili tangia niifaham hii lugha toka kujifunza, kuongea na watu, na kusoma vitabu sijawah kuoona jina la mtu linawekewa (s) kama hali ya kuonesha wingi
 
Reactions: Ok9
Sahihi.. Ila haimaanishi "Daniels" ni akina Daniel wengi.

Ina maanisha jina la familia fulani. Yani kama kwamfano familia ya akina Bashite.

Eg. I am watching Liverpool vs Man City at the pub with the Bashites.

Natizama mechi ya Liverpool na Man City katika pub nikiwa na akina Bashite (familia ya bashite).
 
Mkuu haupo sahihi. The daniels inawezekana kutumika kabisa ikimaanisha amilia ya daniel (yani kuepuka kutaja labda. John daniel, adam daniel, juma daniel, chalii daniel) basi sisi wazungu tunasemaga simply "the daniels"

Thanks
 
Mdau, kuna vitu unachanganya sana, ni kweli hakuna wingi wa jina, lakini tuseme Juma ni jina linalotumiwa na watu wa nasaba fulani basi ni sahihi kabisa kuandika "the Jumas"
Kusema ''the Daniels' ikiwa inahusisha familia ya kina Daniel ni kiingereza sahihi kabisa wala sio makosa
 
Uki capitalize Danials afu preceded by an article unakuwa umeua bend so sentence inakuwa na punctuational error.

Namshauri mtoa mada akasome NOUN
Mkuu haupo sahihi. The daniels inawezekana kutumika kabisa ikimaanisha amilia ya daniel (yani kuepuka kutaja labda. John daniel, adam daniel, juma daniel, chalii daniel) basi sisi wazungu tunasemaga simply "the daniels"

Thanks
 
Reactions: Ok9
Mkuu haupo sahihi. The daniels inawezekana kutumika kabisa ikimaanisha amilia ya daniel (yani kuepuka kutaja labda. John daniel, adam daniel, juma daniel, chalii daniel) basi sisi wazungu tunasemaga simply "the daniels"

Thanks
Nakubaliana na wewe mkuu, sikutaka kuingia ndani zaiidi kuelezea, ila nalitambua hilo
Asante
 
Reactions: Ok9
Hiyo sentence iko sahihi kabisa grammatically .... Neno "Daniels" halijatumika kumaanisha wakina Daniel wengi maana sarufi haituongozi hivyo ...... bali limemaanisha "familia" ya Daniel.

Among the proper uses of definite article "the" is to be used before FAMILY NAMES .... in the sentence above, it means I together with my family and Daniel's family ( may be Daniel, his wife and the children)

Ushauri: Rejea kujifunza zaidi articles na matumizi yake.

Note: Ukikutana na maneno kama:-
a) Peoples
b) Waters
Usishangazwe, naamin utayafuatilia ili kuzijua maana zake pia
 
Asante kwa kuwa pamoja
 
Article nimeisoma vizuri. Tatizo wewe hujasoma sheria za punctuation.
Mkuu mie si mzuri katika "mabishano" na hakika huwa sipendi ....... let me be the loser and you be the winner of this so called "arguments" between us.

Grammar nimeisoma vizuri na nina hakika na ninachoamini .... by the way I'll never ever change you in whatever knowledge you have an believe as well .....

Note: My time is too worthy to be wasted in arguments.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…