mjomba wa kale JF-Expert Member Jan 18, 2012 266 56 Jun 19, 2016 #21 Pole sana! Nami imenikuta Singida juzi lakini nilivumilia tu kwakuwa hakukuwa na namna nyingine.
Wong Fei JF-Expert Member Apr 13, 2016 4,819 6,464 Jun 19, 2016 #22 siku hiz guest house zimegeuka ''madanguro'' ndio maana kuna showtime