If that's the case, waambie waongeze kodi mpaka kwenye maji ya kunywa kwa sababu yanatumika sana.Unajua watanzania wanatabia ya kuwaona wenzao hawajui mambo ila wao. ni dhihaka kufikiri wachumi wote ni vilaza wakati wewe ambaye siyo kilaza huna alternative solution.Vinywaji ni biashara kubwa sana Tanzania na inakwenda haraka sana.Wauzaji wa vinywaji kwa jumla wanajua hilo.huwezi kuacha kutoza kodi kwa bidhaa inayotoka kwa wingi vile halafu utegemee bidhaa ambazo hazifanyi vizuri sokoni.
Kama wewe hunywi inatosha. Waaacheni wanaokunywa wanywe wivu Wa nini wakati kila mtu ana imani yake!?Kwa hiyo hapa unataka mchumi ashauri kodi ya VILEVI ipunguzwe ili tuwe tunashinda Bar siku nzima na kuacha kujikita kwenye shughuli za uzalishaji mali.....Tuwe wa kweli hili si jambo la kulilalamikia kabsa TUNAKIWA TUKEMEE ULEVI NA UVUTAJI SIGARA ndio maana Serikali inaamua kupandisha kodi ili tusiendeelee kutengeneza taifa la WALEVI
usipozalisha mali huwezi kushinda bar siku nzima.Kwa hiyo hapa unataka mchumi ashauri kodi ya VILEVI ipunguzwe ili tuwe tunashinda Bar siku nzima na kuacha kujikita kwenye shughuli za uzalishaji mali.....Tuwe wa kweli hili si jambo la kulilalamikia kabsa TUNAKIWA TUKEMEE ULEVI NA UVUTAJI SIGARA ndio maana Serikali inaamua kupandisha kodi ili tusiendeelee kutengeneza taifa la WALEVI
Ukichukua bajet zao tangu uhuru format ni ile ile. Copy and paste. Wanacho badilisha ni figure tu.
Hivi siku wanywaji wakiamua kugoma kunywa pombe hii nchi itakwenda kweli?
Halafu walivyo pigwa upofu, juzi kampuni ya bia imetangaza mauzo kushuka kwa 30% lakini kwa vile wamesha kariri bado wanapandisha bei ya bia.
Kuna mahali zipi hela za kutosha lakini hawapagusi. Misamaha ya kodi kwa wawekezaji, kuhamisha motor vehicle license kutoka kulipia dirishani na kuiweka kwenye mafuta hata shs20 tu kwa lita tungepata pesa za kutosha. Kuliko kusubiria tshs 100,000 kwa mwaka.
Halafu wanawatumia trafiki kujenga uadui na wenye magari.
Hii nchi chini ya Ccm ni kudanganyana tu....
Wanazungumzia kuhifadhi mazingira. Lakini wanapandisha bei ya gas halafu wanasema wanawajali wanyonge. Jamani tumelogwa na Ccm?????
nan ka kwambia walevi hawana maendeleo? ww kma hutumii usiwatusi watumiajiwewe ndio kilaza kweli, wewe unajua efect ya kuweka hata sh 1 kwenye mafutaaa?? wote mnaolalamika hapa ni walevi na mimi nasema hata bia na sigara ikiwa 10,000 mimi ndio nitafurai zaid kwan ulevi ukipungua nguvu kazi itaongezeka zaidi na hiyo ela ya kulewa unawaza kuitumia kwa mipango mingene ya maendeleo ambayo yatapekea multiple effect kwenye kodi( nguvu kazi +more invest unapata high production na inapelekea kodi kupatikana zaid na zaid
mkuu kwanza heshima yako pil tutake rash wanywaj na wavutaj kutokunywa na kuvuta kwetu kunaweza kusababisha mtikisiko wa kiuchum. Pia ukiacha hiz makitu unaweza ku ommit suisaid hiv hivTatzo mnapenda sana kulalamika kwenye mambo yasiyokua na msingi wowote ebu be honest usipo kunywa pombe au vuta sigara kwa Maisha ya Mtanzania kuna madhara gani na ukiwa mlevi kwenye vitu hivi kuna madhara gani???....Mfano mdogo ukiweza kudhibiti NguVU kazi kubwa ya Taifa inayoaangamia kwa sababu ya kuendekeza ulevi LAZIMA uchumi wa taifa utaimairika tu...Hivyo ni vizuri kudhiti matumizi ya vilevi ndani ya nchi yetu ili tuokoe NGUVU KAZI YA VIJANA waweze kujikita kwenye kuzalisha mali zaidi na kunyanyua uchumi wetu........
Hatusemi NG'O kama mlikuwa VILAZA CLASS imekula kwenu WA DIV 4-CERT- (DIPLOMA???) TO DEGREE.Ebu nyie msio vilaza elezeen hapa mnefanya nn ili kuongeza mapato
Safi sana mkuu atusemi n'goo! Wao si watuwakukurupuka waendelee kukurupuka to lakin vyanzo nivingi sana vya mapato nchi hiiHatusemi NG'O kama mlikuwa VILAZA CLASS imekula kwenu WA DIV 4-CERT- (DIPLOMA???) TO DEGREE.
Mnataka kuibia mawazo, wezenu wanaibia TACTICS,TECHNIQUES, TECHNOLOGY ESPIONAGE...kweli upinzani wamewazidi kila kitu.