babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,222
- 3,172
- Thread starter
- #21
Define the term fancy (5 Marks)
Mwanzo kwenye heading nilikuelewa ila ulivyokuja litumia tena hilo neno fancy kwenye maelezo ukaniboronga kabisa
Ni kama vile neno moja kwa juu lina maana moja , na chini lina maana nyingine
Ona zilivyo
1. Kwenye heading nimeelewa ni Kuduu...
2. Katika umeitaja nikaekewa ni Kupenda
3.mwisho ni kama tena kuduu tena
Baba Jesca kazana tuu baba ila kazi unayo
Sijakamata, kufancy ndio sawa na kuweka fence?
Hivi vienglish vingine nikujiaibisha bora kuandika thread yako Swahili watu wakuelewe.
Mimi nimeomba maana ya neno fancy bado sijajua
In the context of this thread, Fancy is having a crash on someone.lugha gongana mbona kila mtu anataka kuongea ung'eng'e
Maneno mengine ya kiingereza hayana maana kwa kiswahili au vigumu kuelezea maana yake kwa kiswahili.