Hivi uliielewa Toyota FJ Cruiser? Inakuja second generation yake.

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
25,448
72,722
FJ Cruiser gari moja ya kibabe sana, walianza nayo tokea 2007 uko ila wakaipotezea hadi leo hawajawahi tuletea 2nd generation.
IMG_0538.jpeg

Sasa inakuja. Ingawa bado ni rummors ila picha zimeanza kuonekana uko kwa wenzetu. Kuna uwezekano tukafurahi wazee wa mandinga ya ajabu.
IMG_0539.jpeg

Baadhi ya watu wanasema itakua ni Hillux Raga wengine wanasema itakua ni affordable Fortune ila yote ni yote tukiangalia huu mlango wa pili, naona kabisa flavor za FJ.
IMG_0540.jpeg

Tutegemee engine ya 2.4L diesel turbo, V6 engine na 6 gear auto.
 
Back
Top Bottom