fredymkanza
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 284
- 152
Kitu cha kwanza kabisa, alichosema ni kweli au si kweli?Juzi Gwajima wakati anaongea habari ya gari la Mheshimiwa Makonda T 500 DAR alilodai kapewa na NAS HAULAGE Alitumia kauli hii Nanukuu :Huyu jamaa amemtisha muislam wa watu ampe Ile landruiser luxus sijui kwa nini anawaonea waislam namna hii: mwisho wa kunukuu. Kwa kauli hizi anatengeneza nini maoni yenu tahadhali
iulize hiyo serikaliJuzi Gwajima wakati anaongea habari ya gari la Mheshimiwa Makonda T 500 DAR alilodai kapewa na NAS HAULAGE Alitumia kauli hii Nanukuu :Huyu jamaa amemtisha muislam wa watu ampe Ile landruiser luxus sijui kwa nini anawaonea waislam namna hii: mwisho wa kunukuu. Kwa kauli hizi anatengeneza nini maoni yenu tahadhali
Kwa hiyo hii Habari yako tuifanyeje? Tuiweke front page ya gazeti au tuipeleke tbc ikarushwe runingani?Juzi Gwajima wakati anaongea habari ya gari la Mheshimiwa Makonda T 500 DAR alilodai kapewa na NAS HAULAGE Alitumia kauli hii Nanukuu :Huyu jamaa amemtisha muislam wa watu ampe Ile landruiser luxus sijui kwa nini anawaonea waislam namna hii: mwisho wa kunukuu. Kwa kauli hizi anatengeneza nini maoni yenu tahadhali
Unavyomuona Gwajima usijilinganishe na wewe ukadhani anafanya mambo kijinga kijinga, Makonda na Magufuli wanajua kumuharibia Gwajima inabidi ujipange sana tena sana na wanajua kuwa walikosea kumtaja kwenye ishu ya madawa na hilo ndo linawatesa mpaka keshoJUMAPILI hii utajua serikali ni nini.. Arudie tena mambo Yake ya kiudaku udaku kwenye madhabahu tuone