Hivi nikimsifu Lowassa ni kosa? Wacha nimtie moyo

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,625
5,810
Mzee Lowassa, Najua Hunijui, Wala 2015 sikupata bahati ya Kukupigia Kura. Ila kwa Mbaali Nilikuwa nakupigia Ndogo ndogo! Nachotaka kufanya Leo Nataka tu nikushukuru kwa Roho yako na Uvumilivu wako, Nafikiri ni Jambo zuri sana Mtu akifanya Jema apewe shukurani. Mheshimiwa Lowassa nimekufuatilia mwa Karibu sana hasa baada ya Kampeni, kabla ya hapo ni kuwa sikuwa mfuasi wala nikikuunga Mkono significantly!

Lakini nimejifunza Mengi Baada ya Kukufuatilia Kipindi Hiki

Mh. Lowassa wewe Ni mtu usiye Sadist Unahuruma na Kuguswa sana na Watu be blessed
Mh. Lowassa wewe Ni mtu usiyependa sifa za kijinga au makuu, ni mnyenyekevu sana be blessed
Mh. Lowassa wewe Ni Mtu usiye na Vinyongo na Kulipiza kisasa, unavumilia sana be blessed
Mh. Lowassa wewe Ni Mtu usiye na hila na unafiki, kama huna la kusema unakaa kimya be blessed
Mh. Lowassa wewe Sio mtu wa kuogopa Wengine kuonekana Be blessed
Mh. Lowassa wewe sio Mtu Unayedhani Unajua kila Kitu ni Msikivu Be Blessed
Mh. Lowassa wewe Sio Mtu wa Mashindano Ni Mvumilivu sana, Be Blessed
Mh. Lowassa wewe sio Mtu wa Kukurupuka kurupuka, unatafakari sana na una Hekima, Be Blessed
Mh. Lowassa wewe sio Mtu uliyejaa hofu ya Mafanikio ya Wengine. Be Blessed
Mh. Lowassa wewe sio Mwoga wa kuupingwa au Kukosolewa, wewe ni Jasiri, Be Blessed
Mh. Lowassa wewe sio wa kufanya mambo ili Kusaka sifa bali Unaangalia uhitaji na priority

Nilitaka Nitie Moyo Kuwa Watanzania Wenye Nia Njema na Moyo wa Kuona Ukweli wanakuthamini sana!
 
Humjui lowasa wewe,
Eti hana kinyongo? Lol muulize mwenyekiti wa simanjiro jinsi alivyo shughulikiwa na lowasa baada ya kuwa waziri mkuu,au Kinana baada ya lowasa na jk kuchukua nchi,alimshughulikia kinana hadi akahakisha nafasi ndogo ya ukamanda wa vijana Arusha amempa baniani,au muulize mzee Mangula ilimbidi Arudi kijijini kulima,lakini Karma is a bitch,na wenyewe wakapata nafasi ya kumshughulikia,kuhusu uongozi wake nauhakika angefanya vizuri kuliko tuliokuwa nae sasa,hiyo ni maoni yangu ya dhati.
 
Unyenyekevu ni hekima itokayo kwa mungu, huyu bwana kajaaliwa!
 
I may not be right in everything!
 
Ni ngumu kumwelewa mzee lowasa kama ilivyo vigumu kuelewa umuhimu wa jua mpaka mvua inyeshe....
Ili umeelewa mzee lowasa inabidi atokee mpuuzi mmoja unayeweza kumlinganisha naye na hapo unagunduwa mzee lowasa kamuacha mbali kwa kila kitu kama ilivyo mbingu na ARDHI
 
Hakika lowassa ni presidential material the other one
Hii sio lugha sawa please nakusihi futa yale maneno mawili ya mwsho please nakuomba sana Akiiba ntamwita mwizi, Akidanganya Ntamwita mwongo, Akifanya hila etc. Lakini hayo no!
 
Lowassa ni Mtu mwenye maono ya Mbali be blessed
Lowassa ni Mtu muonekano wake wa nje[usafi] unasadifu mwonekano wake wa ndani Be blessed
Lowassa ni Mtu anapenda maendeleo ya jamii na mchukia umasikini Mungu akupe maisha marefu
Lowassa ni Mtu mwenye anayetawaliwa na hekima busara na unyenyekevu, Be blessed
Lowassa ni Mtu mwenye kujali makundi yote watoto, vijana na wazee be blessed
Lowassa ni Mtu wa Familia na mcha Mungu wa kweli, Be blessed
Lowassa ni Mtu anayejali na kuheshimu mamlaka anayopewa, Be blessed
Lowassa sio Mtu anaweza kukasirishwa na vito vidogo vidogo, Be blessed
Lowassa sio mtu wa kujikweza na kujipendekeza kwa viongozi
Lowassa sio mtu wa wanawake wengi, Be blessed
 
hata rafiki yako akiwa mgonjwa taabani anakaribia kufa,, huwezi kumwambia kuwa unakufa!!!
Lazima utavunga tuu
 

Unaonekana roho inakusuta kabisa.
 
Uko sahihi 100 % Mkuu.
 
Lowassa ni kiongozi hekima kajaliwa daaah cjui wakolomije
Utajuta
 
Vijana wa Lumumba ni kama misukule tu wanachangia hata wasichokijua,wanatokwa na mapovu bila sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…