Augustine Genius
JF-Expert Member
- Apr 14, 2016
- 1,216
- 1,477
eti freehader nimecheka sana mkuu
Mpira wa "matambara"Duh,jamaa alikua nomaa,free header tena! Au alikua anacheza chandimu?
hakuna unalopigwa fix,tunacho kiandika hapa ni hali halisi ya makuzi waliyopitia watoto waliozaliwa miaka ya 70-80.Ukitaka kujua wakongwe huwa kwa fix wako fiti soma uzi huu, hutaona hata mmoja atasema kama aliwahi kupigwa hapa, Kila mmoja alikuwa mtemi tu, sasa sijui nani alikuwa anapigwa, Yale yale ya shule Kila mtihan wa kwanza tu sijui nani alikuwa wa mwisho, kweli fix na watu wa zamani kama stoo na vumbi
Nakumbuka miaka ya 80-90 ilikuwa jambo la kawaida kukuta jamaa wanapigana mitaani halafu watu wanashangilia sana.
Yaani ukiwa mtemi au gangwe basi unaonekana wa maana sana. Hata baadhi ya disco ilikuwa lazima ziishe kwa ngumi.
Kwa wale wa Iringa mtawakumbuka kina cool 9, shedadi, Ray nk
Dah! Long time, tulipokuwa primary, mkikosana school mnasubiria muda wa kutoka mnafunga safari hadi bondeni (kulikuwa na mto jiran na shule) watu wanakaa kushangilia mnapigana mpaka mmoja amuombe msamaa mwenzake
na wenzako wanashangilia kweli hakuna kuamulia
Dah! Long time, tulipokuwa primary, mkikosana school mnasubiria muda wa kutoka mnafunga safari hadi bondeni (kulikuwa na mto jiran na shule) watu wanakaa kushangilia mnapigana mpaka mmoja amuombe msamaa mwenzake
na wenzako wanashangilia kweli hakuna kuamulia
Dah! Long time, tulipokuwa primary, mkikosana school mnasubiria muda wa kutoka mnafunga safari hadi bondeni (kulikuwa na mto jiran na shule) watu wanakaa kushangilia mnapigana mpaka mmoja amuombe msamaa mwenzake
na wenzako wanashangilia kweli hakuna kuamulia
Mkuu, hata mie najiuliza sana, maana hao watu zamani walitupa burudani tosha mitaani. Sasa mie nakushauri wewe na mimi tukutane na tuzipige kavu kavu mitaani, labda tutawatia moyo na wengine kufanya hivyo. Ila nakushauri jambo moja, unapokuja kuzipiga na mimi hakikisha umechukua likizo wiki nzima na unakula na mayai kabisa, la sivyo nitakupa kipigo hata njia ya kurudi kwako utaisahau. Kwa hiyo pumzika wiki moja, kula na mayai kabisa, halafu njoo hapa upate kipigo.Nakumbuka miaka ya 80-90 ilikuwa jambo la kawaida kukuta jamaa wanapigana mitaani halafu watu wanashangilia sana.
Yaani ukiwa mtemi au gangwe basi unaonekana wa maana sana. Hata baadhi ya disco ilikuwa lazima ziishe kwa ngumi.
Kwa wale wa Iringa mtawakumbuka kina cool 9, shedadi, Ray nk
Siku hizi naona watu wanapigana ngumi hewani tu! (Kwenye social media)Siku hizi ni mipasho tu hakuna anayethubutu kupigana
Haha Nguzo dah Morungu yupo wapi asee..tulikua tunapiga tuition kwa tadeo yule ticha wa hesab mkizinguana mda wa kutoka kurushiana mawe tuDah kweli nakumbuka enzi za primary shule yyetu ilikuwa imepakana na kiwanja cha golf, hapo golf ndio ulikuwa uwanja wa mapambano kama mkileteana noma class mnasikilizia bell ring ya kwenda nyumbani saa7 hio jua kali mnaingia kuwekeana adabu sawa. Nakumbuka pambano langu la mwisho nilioshewa baada ya kuotewa nakoz ya pua na kuvujishwa na dogo mmoja ambae nilikuwa namtesa kwa mabiti kwa muda mrefu sana nikatoka nduki balaa, nilikuwa na mkwala sana ila ngumi sijui ila kuna siku nilimtia dogo mmoja wa kiarabu teke la pumbu ghafla class,akaflet ndihi o kitu kikafanya niogopeke sana. Siku hio niliitwa staff room nikapewa adhabu ya kupiga magoti mpk saa9 muda walimu wote wanapoondoka. Dah ila maisha Yale yalikuwa full burudani.
#Tb..David Kapinga, Salim Juma Ngasongwa(VW B), Blasius Makundi(BM coach), Zamdini Babu, Ismail Mgunda, Daniel Msuya, Zawadi Mdoe(T.O), Jeff Kibirige, Godfrey Charles, Moses Morungu.
Mleta mada unanikumbusha mbali sana 1981 ama 1982 kama sijakosea kuna dogo flan aliingia anga zangu kijijin huko mbarali kwa kumtongoza mchepuko wangu. Nilitembeza vitasa kijiji kizima kwa madogo wote wenye umri kama wake. Maumiv makal sana niliwakabiz kwa kosa la mtu mmoja. Yan nilikuwa na bwaka nikiibuka 10 ardhin nikizama nikichomoza 20 wengine chali. Nikamchukua dogo mwengine mwembamba hiv nikamtumia kama fimbo kwa kuwacharaza. Ila kwasasa nimejikita zaid kusaka hela uzee nao ndio huo. Ila miaka iyo ya themanini nilikuwa mtemi sana
Mkuu, hata mie najiuliza sana, maana hao watu zamani walitupa burudani tosha mitaani. Sasa mie nakushauri wewe na mimi tukutane na tuzipige kavu kavu mitaani, labda tutawatia moyo na wengine kufanya hivyo. Ila nakushauri jambo moja, unapokuja kuzipiga na mimi hakikisha umechukua likizo wiki nzima na unakula na mayai kabisa, la sivyo nitakupa kipigo hata njia ya kurudi kwako utaisahau. Kwa hiyo pumzika wiki moja, kula na mayai kabisa, halafu njoo hapa upate kipigo.