ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 58,795
- 69,459
Rais DK.Samia anazidi Kujipambanua na kujitofautisha na watangulizi wake Kwa kuacha alama.
Kutokana na sera yake ya kufungua Uchumi wa Nchi, Halmashauri ya Jiji la Arusha inatarajia kukusanya Mapato ya Shilingi Bilioni 60.6 ikiwa ni mara 2 ya makusanyo ya awali au sawa na ongezeni la zaidi ya asilimia 💯.
Haya ni mafanikio makubwa ya kujua Kwa shughuli za kiuchumi na kuongeza Kwa mzunguko wa hela wa Jiji ambalo miaka iliyopita kilikuwa limepauka huku sekta yake kuu ya Utalii na Biashara za Huduma zikiwa zimedorora ,lakini chini ya mama hakuna vyumba vya hotels na lodges vyote vimejaa zikiwemo zile ambazo ziligunga.
Kwa mujibu wa meya wa Jiji Hilo, mabilioni hayo yanaenda kuleta mapinduzi makubwa kwenye Maisha ya watu kwani asilimia 80% ya Mapato yote yataenda kuboresha Huduma za Jamii na Uchumi za Wananchi wa Arusha.
View: https://youtu.be/5EjA-bQm73Q?si=iMX92jZDgyoLKFTD
My Take
Tuliwaambia Samia ni next level kwenye uchumi muwe mnaelewa.
View: https://www.instagram.com/p/C5yISLvqAGV/?igsh=ZGs5MTAwand4OWM0