Hivi mwanaume unakosaje gari jamani?

Katika vitu nisivoviwazia kuvifanya maishani mwangu ni kuwa na Gari..

sioni ule uhitaji wa gari saana kwa upande wangu, ntabanana mwendokasini mpaka basi, siwezi kuacha kufanya mambo ya msingi nikanunue gari, yani halina kipaumbele kabisa kwangu.
Utakuwa maskini mpaka unakufa kama una mawazo ya kifukara kiasi hicho. Sasa hivi gari sio anasa ni hitaji la msingi la binadamu kamili wa kiume
 
Mwenyewe nina langu Toyota Voltz unijie wanguwangu huna usafiri nakutimua upumbavu sitaki.
 
Kwanza utumiaji wa magari ni chanzo kikubwa cha uchafuzi wa hewa katika miji mingi..ndiomana hamuishi kuugua asma.. wenzetu nchi za scandinavia pamoja na utajiri wao wamepunguza matumizi ya magari wanatumia baisker na usafiri wa umma kama tren za umeme..halafu wewe unaishi kwa mtogore unajifanya unajua matumizi ya magari..kwenda huko..
 
Mi wangu huu
Sina habari na gari kwa sasa..
c8d189200484808bbc9930aba55c862c.jpg
 
Kweli hiki ni kizaz cha hovyo haijatokea !pumbav sana dume zima unaamka Na umbumbu kama huu? Du aibu bora ungesema huna hata mradi Wa matikiti usaidie hata ajira kwa wengine!usafir ni kitu cha kawaida sana mwenye future hajadiri !
 
Unajua kuna vitu vinashangaza sana. Dume zima mpaka miaka hamsini huna hata gari la mabati. Sa unafanya kazi ya nini. Lengo la kazi upate vitu vizuri banah!

Yaani dume zima unakosa hela ya usafiri kama huu
View attachment 516377au basi hata magari ya mbebez na vitoto kama hayaView attachment 516378

Au

View attachment 516379

Wanaume wengi wa jf ni wanapenda usafiri huu
View attachment 516380

Fanyeni kazi mpaye hata matoroli ya kutembelea khaaa...

Kumbuka kitu pekee cha kumtuliza mwanamke ni
View attachment 516381

Na

View attachment 516382
Mapenzi hata mmbwa anajua

Dr. H. Rweyemamu
Uwezo wa mtu
 
Back
Top Bottom