King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,853
- 24,895
Ile ina limits ya namba. Labda mchana alitumia mume plz call me mara mbili na mcheps mara tatu. Afu ukimtumia mtu plz call me asipopoga si inabidi ubipu?
Wanamtesa dada wa watu huko kwao alikoenda atasaka mcheps wa tatu
Wanamtesa dada wa watu huko kwao alikoenda atasaka mcheps wa tatu
Hahaha hapana kwa kweli, si kuna ile tafadhali Nipigie/niongezee salio. Sio kwa kujirisk huko