Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,682
Kwani yeye ni wamuhimu kiasi gani asiondolewe. Angekuwa ana hiyo taaluma angekuwa na cheti fake. Cheti fake maana yake hiyo taaluma hana na kama anayo kidogo bado hakuweza kufikia vigezo. Hana utaalam zaidi ya wale system admin halali waliobaki kamanda. Wala usihofu. Hawana lolote ndio maana wana vyeti fake.Kwa wale wataalamu wa maswala ya IT ningependa kuuliza hivi mtu kama system admn akigundulika na VYETI FEKI anaweza kuondolewa kazini au ofisini.
Ninavyofahamu Mimi mtu yoyote katika tasisi akifikia level ya kuwa IT system admn anakuwa ni mtu hatari sana katika maswala ya usalama wa taifa kwa sababu system admn anaweza Ku hack system serikali, kuiba taarifa za siri na muhimu na pia system admn anaweza kufanya udukuzi kwenye system ambayo IPO weak .....
Nchi kama marekani iliwahi kushutumiwa kufanya udukuzi kwa mwana mama Angela markel kupitia simu yake ya mkononi, nchi kama urusi iliwahi kushutumiwa kufanya udukuzi uchaguzi Mkuu wa marekani,......
Lakini pia nchi kama marekani hadi Leo Bado wanapata shida kuhusu Edward snowden mmoja kati ya "system admn" aliyefanya kazi muda mrefu serikalini ambaye Leo hii Bado anawasumbua akili . ...
Huku nchini kwetu kuna issue ya kuwaondoa watendaji wa serikalini wenye VYETI FEKI sasa Leo nilitaka kufahamu ivi mtu kama system admn akiwa na VYETI FEKI anaweza kuondolewa kazini....
Think wide, MTU NAIBA CHETI CHA FORM 4 ANAKWENDA A LEVEL ANAPASUA ANACHANJA MBELE MPAKA PhDKwani yeye ni wamuhimu kiasi gani asiondolewe. Angekuwa ana hiyo taaluma angekuwa na cheti fake. Cheti fake maana yake hiyo taaluma hana na kama anayo kidogo bado hakuweza kufikia vigezo. Hana utaalam zaidi ya wale system admin halali waliobaki kamanda. Wala usihofu. Hawana lolote ndio maana wana vyeti fake.
Acheni ujinga, kama ametumia hicho cheti cha kufoji na chuo huyo ni mhalifu tu.Think wide, MTU NAIBA CHETI CHA FORM 4 ANAKWENDA A LEVEL ANAPASUA ANACHANJA MBELE MPAKA PhD
we unadhani wana akili kama zako, wao jaramba litapita tu, watakuja stuka baadae ndio watajutaKwa wale wataalamu wa maswala ya IT ningependa kuuliza hivi mtu kama system admn akigundulika na VYETI FEKI anaweza kuondolewa kazini au ofisini.
Ninavyofahamu Mimi mtu yoyote katika tasisi akifikia level ya kuwa IT system admn anakuwa ni mtu hatari sana katika maswala ya usalama wa taifa kwa sababu system admn anaweza Ku hack system serikali, kuiba taarifa za siri na muhimu na pia system admn anaweza kufanya udukuzi kwenye system ambayo IPO weak .....
Nchi kama marekani iliwahi kushutumiwa kufanya udukuzi kwa mwana mama Angela markel kupitia simu yake ya mkononi, nchi kama urusi iliwahi kushutumiwa kufanya udukuzi uchaguzi Mkuu wa marekani,......
Lakini pia nchi kama marekani hadi Leo Bado wanapata shida kuhusu Edward snowden mmoja kati ya "system admn" aliyefanya kazi muda mrefu serikalini ambaye Leo hii Bado anawasumbua akili . ...
Huku nchini kwetu kuna issue ya kuwaondoa watendaji wa serikalini wenye VYETI FEKI sasa Leo nilitaka kufahamu ivi mtu kama system admn akiwa na VYETI FEKI anaweza kuondolewa kazini....
Hatuongelei kosa, tunaongelea mastery ya profession despite kuiba cheti! Jitahidi kuacha neno ujinga, ni tusi, utarudishiwa usikasirikie!Acheni ujinga, kama ametumia hicho cheti cha kufoji na chuo huyo ni mhalifu tu.
Kosa halibadiriki kwa aina ya kazi ya mtu au mafanikio yake kitaaluma.
Sasa nimejua watu humu ni wanafiki sana, ilikuwaje mnataka Bashite atumbuliwe na hawa waachwe? Tofauti ni nini?
Mkuu ivi unafahamu kazi za "system admn" katika taasisi .Kwani yeye ni wamuhimu kiasi gani asiondolewe. Angekuwa ana hiyo taaluma angekuwa na cheti fake. Cheti fake maana yake hiyo taaluma hana na kama anayo kidogo bado hakuweza kufikia vigezo. Hana utaalam zaidi ya wale system admin halali waliobaki kamanda. Wala usihofu. Hawana lolote ndio maana wana vyeti fake.
Soma mada kwa utulivu na uelewa.Kwani yeye ni wamuhimu kiasi gani asiondolewe. Angekuwa ana hiyo taaluma angekuwa na cheti fake. Cheti fake maana yake hiyo taaluma hana na kama anayo kidogo bado hakuweza kufikia vigezo. Hana utaalam zaidi ya wale system admin halali waliobaki kamanda. Wala usihofu. Hawana lolote ndio maana wana vyeti fake.
Sytems admin ni nani asiwe replaced, utaratibu unafuatwa ana pelekwa jela tu.Hatuongelei kosa, tunaongelea mastery ya profession despite kuiba cheti! Jitahidi kuacha neno ujinga, ni tusi, utarudishiwa usikasirikie!
Tofauti ni double standards...Acheni ujinga, kama ametumia hicho cheti cha kufoji na chuo huyo ni mhalifu tu.
Kosa halibadiriki kwa aina ya kazi ya mtu au mafanikio yake kitaaluma.
Sasa nimejua watu humu ni wanafiki sana, ilikuwaje mnataka Bashite atumbuliwe na hawa waachwe? Tofauti ni nini?
Kwa mfano mtu anae deal na information security system lakini pia anashughulika na database system1. System admins siyo hackers, wana wana legal rights za ku access kile anacho ki administers.
2. Unyeti wa hii kazi inategemea pia ana administer system gani.
3. Kuna utatatibu wa kuwaondoa kazini watu wanao administer system nyeti.
4. Inategemea na tabia ya mtu
Mkuu ivi unafahamu kazi za "system admn" katika taasisi .
Ivi unafahamu madhara ya "system admn ikitokea anaacha kazi katika taasisi yoyote ile".
Ivi unafahamu ni kwanini " system admn nchi nyingine system admn wakiachaga kazi huwa wanauwawa.....
Ivi unafahamu ni kwanini wataalamu aina hii hata wakitaka kuacha kazi huwa wanabembelezwa na mshahara wanaongezewa unakuwa upo juu .
Kama haufahamu uliza watu walio katika taasisi watakwambia
Mkuu kuna utofauti mkubwa kati ya kazi za Mkuu wa mkoa na kazi za "system admn".Acheni ujinga, kama ametumia hicho cheti cha kufoji na chuo huyo ni mhalifu tu.
Kosa halibadiriki kwa aina ya kazi ya mtu au mafanikio yake kitaaluma.
Sasa nimejua watu humu ni wanafiki sana, ilikuwaje mnataka Bashite atumbuliwe na hawa waachwe? Tofauti ni nini?
Akigundulika lazima aondolewe. And maswala ya hacking ni magumu sana. Mm ni a IT Admin katika campun flan.. nikwambie tu hacking sio rahis kama inavyodhaniwa... kama kwenye movie.Kwa wale wataalamu wa maswala ya IT ningependa kuuliza hivi mtu kama system admn akigundulika na VYETI FEKI anaweza kuondolewa kazini au ofisini.
Ninavyofahamu Mimi mtu yoyote katika tasisi akifikia level ya kuwa IT system admn anakuwa ni mtu hatari sana katika maswala ya usalama wa taifa kwa sababu system admn anaweza Ku hack system serikali, kuiba taarifa za siri na muhimu na pia system admn anaweza kufanya udukuzi kwenye system ambayo IPO weak .....
Nchi kama marekani iliwahi kushutumiwa kufanya udukuzi kwa mwana mama Angela markel kupitia simu yake ya mkononi, nchi kama urusi iliwahi kushutumiwa kufanya udukuzi uchaguzi Mkuu wa marekani,......
Lakini pia nchi kama marekani hadi Leo Bado wanapata shida kuhusu Edward snowden mmoja kati ya "system admn" aliyefanya kazi muda mrefu serikalini ambaye Leo hii Bado anawasumbua akili . ...
Huku nchini kwetu kuna issue ya kuwaondoa watendaji wa serikalini wenye VYETI FEKI sasa Leo nilitaka kufahamu ivi mtu kama system admn akiwa na VYETI FEKI anaweza kuondolewa kazini....
Acheni ujinga, kama ametumia hicho cheti cha kufoji na chuo huyo ni mhalifu tu.