Yupo anaitwa shingoroto huyu jamaa ni moto wa kuotea mbali.Habarini Wadau,
Hivi kuna mtangazaji gani unayemfahamu (wa zamani au wa sasa) aliye mkali katika habari ya vionjo mbalimbali vya music anayemzidi Masoud Masoud?
Kidogo anafuatiwa na Charles Hillary, hasa akitangaza miziki ya charanga.
Halafu finally kuna Ras mmoja huwa ni judge naye si haba yule.
Ila Masoud Masoud naona ni habari nyingine.
Hawa watangazaji wa sikuhizi wengi wana mihemko na mawenge flan hivi.
Habarini Wadau,

Hatari sana huyu jombaMasoud Masoud au manju wa muziki ni habari nyingine.Licha ya uwezo mkubwa alio nao wa kuchambua muziki na habari za wanamuziki pia ni fundi wa kuzichambua ala zote za muziki.Hata kama msikilizaji hujui gita la rythim atakwambia na utajua.Atakwambia hii ni gita la solo...atakwambia huu ni mlio wa saxaphone aina ya auto au hii ni turner sax...Kwa hakika huyu alistahili kupewa uprofessa wa heshima katika muziki!Ana uwezo wa kuchambua muziki kuanzia bara Hindi,America,Ulaya mpaka Afrika.Baadhi ya radio station hapa Tanzania ni yeye ndiye aliyesimika uchambuzi makini wa muziki.
Ana uwezo wa kukuvuta na ukaupenda muziki ambao pengine isingekuwa rahisi kuupenda.Halafu mwenyezi mungu amempa sauti ya kazi...Na kingine nasikia anajua kiingereza,kifaransa na kiarabu kwa ufasaha.
Nina heshima sana kwa wachambuzi wengine lakini kwa huyu ndugu nimemvulia kofia.Huwa natamani mara nyingine kwamba aandike kitabu.Ama ikiwezekana TBC wawe wanatuuzia baadhi ya uchambuzi au mahojiano ambayo ameyafanya.
Hawa wa leo wajifunze kwake.
Asante.
Muziki upi?
Ana maeneo yake si kila muziki. Ataiweza hii ya vijana wa leo?
Sina sababu ya kusikiliza tbc, but Masoud Masoud drags me thereMasoud Masoud au manju wa muziki ni habari nyingine.Licha ya uwezo mkubwa alio nao wa kuchambua muziki na habari za wanamuziki pia ni fundi wa kuzichambua ala zote za muziki.Hata kama msikilizaji hujui gita la rythim atakwambia na utajua.Atakwambia hii ni gita la solo...atakwambia huu ni mlio wa saxaphone aina ya auto au hii ni turner sax...Kwa hakika huyu alistahili kupewa uprofessa wa heshima katika muziki!Ana uwezo wa kuchambua muziki kuanzia bara Hindi,America,Ulaya mpaka Afrika.Baadhi ya radio station hapa Tanzania ni yeye ndiye aliyesimika uchambuzi makini wa muziki.
Ana uwezo wa kukuvuta na ukaupenda muziki ambao pengine isingekuwa rahisi kuupenda.Halafu mwenyezi mungu amempa sauti ya kazi...Na kingine nasikia anajua kiingereza,kifaransa na kiarabu kwa ufasaha.
Nina heshima sana kwa wachambuzi wengine lakini kwa huyu ndugu nimemvulia kofia.Huwa natamani mara nyingine kwamba aandike kitabu.Ama ikiwezekana TBC wawe wanatuuzia baadhi ya uchambuzi au mahojiano ambayo ameyafanya.
Hawa wa leo wajifunze kwake.
Asante.
Hasa muziki wa dansi, rumba, charanga, salsa nkManju wa muziki...
nisaidieni picha ya mzee masoud masoud tafadhar
Mhuu Masoud Kipanya?..sijawahi kumsikia aisee.View attachment 460841
Pamoja na kuwepo huyo manju wa muziki, lakini pia yupo "MASUDI KIPANYA," naye hajambo katika kuuchambua muziki wa zamani hasa wa dansi wa bendi zetu hapa nchini kama vile Msondo ngoma, nk...!!""
Umeuliza umejijibu,kuna yule mzee wa EFM somebody Kitime (kama sijakosea).Jaji wa Bongo Star Search.Habarini wadau,
Hivi kuna mtangazaji gani unayemfahamu (wa zamani au wa sasa) aliye mkali katika habari ya vionjo mbalimbali vya music anayemzidi Masoud Masoud?
Kidogo anafuatiwa na Charles Hillary, hasa akitangaza miziki ya charanga. Halafu finally kuna Ras mmoja huwa ni judge naye si haba yule.
Ila Masoud Masoud naona ni habari nyingine. Hawa watangazaji wa sikuhizi wengi wana mihemko na mawenge flani hivi.
Umemaliza. Namsikiliza Jumapili.Masoud Masoud au manju wa muziki ni habari nyingine.Licha ya uwezo mkubwa alio nao wa kuchambua muziki na habari za wanamuziki pia ni fundi wa kuzichambua ala zote za muziki.Hata kama msikilizaji hujui gita la rythim atakwambia na utajua.Atakwambia hii ni gita la solo...atakwambia huu ni mlio wa saxaphone aina ya auto au hii ni turner sax...Kwa hakika huyu alistahili kupewa uprofessa wa heshima katika muziki!Ana uwezo wa kuchambua muziki kuanzia bara Hindi,America,Ulaya mpaka Afrika.Baadhi ya radio station hapa Tanzania ni yeye ndiye aliyesimika uchambuzi makini wa muziki.